Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nini kinatokea Papa anapofariki? Mazishi ya papa kwa kawaida yamekuwa tukio la kipekee na lenye mambo mengi, lakini Papa Francis… Read more “Nini kinatokea Papa anapofariki?”
Month: April 2025
Marekani inapanga kufunga baadhi ya balozi zake barani Afrika
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Marekani chini ya uongozi wa rais Donald Trump, inapanga kufunga baadhi ya Balozi zake katika mataifa ya Afrika, kwa mujibu… Read more “Marekani inapanga kufunga baadhi ya balozi zake barani Afrika”
Papa Francis afariki dunia, Vatican yatangaza
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88. Imechapishwa: 21/04/2025 – 10:56Imehaririwa: 21/04/2025 – 11:13 Dakika… Read more “Papa Francis afariki dunia, Vatican yatangaza”
Ukraine na Urusi zashutumiana kuvunja ‘makubaliano ya kusitisha vita wakati wa Pasaka
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Ukraine na Urusi zimeshutumiana kukiuka “makubaliano ya kusitisha vita wakati wa Pasaka kwa saa 30 yaliyotangazwa na Rais wa Urusi… Read more “Ukraine na Urusi zashutumiana kuvunja ‘makubaliano ya kusitisha vita wakati wa Pasaka”
Mwanasiasa wa Afrika Kusini alaaniwa kwa kumtembelea mchungaji anayetuhumiwa kwa ubakaji na ulaghai
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Afisa wa ngazi ya juu katika moja ya vyama vikubwa vya kisiasa nchini Afrika Kusini amelaaniwa kwa kumtembelea mchungaji aliyekimbilia… Read more “Mwanasiasa wa Afrika Kusini alaaniwa kwa kumtembelea mchungaji anayetuhumiwa kwa ubakaji na ulaghai”
Makosa yalisababisha kuuawa wahudumu wa dharura Gaza – uchunguzi wa IDF
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Jeshi la Israel limesema “makosa ya kiweledi” yalisababisha kuuawa kwa wafanyakazi 15 wa huduma za dharura huko Gaza mwezi uliopita.… Read more “Makosa yalisababisha kuuawa wahudumu wa dharura Gaza – uchunguzi wa IDF”
Mkuu wa Pentagon alichapisha kwenye kundi la pili taarifa nyeti juu ya mipango ya kuishambulia Yemen
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth alitoa maelezo juu ya shambulio la Machi dhidi ya Waasi wa Yemen wanaosaidiwa… Read more “Mkuu wa Pentagon alichapisha kwenye kundi la pili taarifa nyeti juu ya mipango ya kuishambulia Yemen”
Vikosi vya SADC kuondoka DRC kupitia Rwanda hadi Tanzania
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) sasa itawaondoa wanajeshi wake nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo… Read more “Vikosi vya SADC kuondoka DRC kupitia Rwanda hadi Tanzania”
Uganda kuanzisha sheria ya kuruhusu mahakama za kijeshi kuwahukumu raia
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Serikali ya Uganda inapanga kuanzisha sheria itakayoruhusu mahakama za kijeshi kuwahukumu raia kwa baadhi ya makosa hata baada ya sheria… Read more “Uganda kuanzisha sheria ya kuruhusu mahakama za kijeshi kuwahukumu raia”
Chadema: Serikali ieleze alipo Tundu Lissu
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema kimetoa taarifa inayodai kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu ametolewa mahabusu hii… Read more “Chadema: Serikali ieleze alipo Tundu Lissu”