Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Watu tisa wameuawa baada ya ndege isiyo na rubani ya Urusi kushambulia basi lililokuwa likisafirisha wafanyikazi nchini Ukraine, maafisa wanasema.… Read more “Watu tisa wauawa katika shambulizi la Urusi kwenye basi la Ukraine”
Month: April 2025
Hizi ndizo saa za mwisho za Papa zilivyokuwa
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Adhuhuri ya Jumatatu, kengele za kanisa kote Italia zilianza kulia. Papa Francis alipoteza maisha. Haikupita hata saa 24 tangu ajitokeze… Read more “Hizi ndizo saa za mwisho za Papa zilivyokuwa”
Mfahamu Kadinali Kevin Farrell, anayeongoza Vatican baada ya kifo cha Papa
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Baada ya ulimwengu kutaarifiwa kuwa Papa Francis amefariki asubuhi ya Jumatatu, Kadinali Mmarekani , ambaye hajatambuliwa na wengi duniani ,… Read more “Mfahamu Kadinali Kevin Farrell, anayeongoza Vatican baada ya kifo cha Papa”
Traoré ‘chupuchupu’ kupinduliwa Burkina Faso
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso imesema imezuia “njama kubwa” ya kumpindua kiongozi wa utawala wa kijeshi, Kapteni Ibrahim Traoré,… Read more “Traoré ‘chupuchupu’ kupinduliwa Burkina Faso”
Wabunge wa Uingereza wanataka kumzuia Trump kuhutubia bungeni wakati wa ziara yake
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Uingereza, wametoa wito wa kutaka rais wa Marekani, Donald Trump azuiwe kuhutubia bunge atakapozuru… Read more “Wabunge wa Uingereza wanataka kumzuia Trump kuhutubia bungeni wakati wa ziara yake”
Putin asema yuko tayari kwa mazungumzo ya moja kwa moja ya amani na Ukraine
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Siku ya Jumatatu, Rais wa Urusi Vladimir Putin alipendekeza mazungumzo baina ya nchi yake na Ukraine, kwa mara ya kwanza… Read more “Putin asema yuko tayari kwa mazungumzo ya moja kwa moja ya amani na Ukraine”
Dola la Kiislamu ladai kuhusika na mashambulizi mabaya nchini Nigeria
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kundi la Dola la Kiislamu la Afrika Magharibi (ISWAP) limedai kuhusika na mfululizo wa mashambulizi mabaya yaliyolenga vikosi vya usalama… Read more “Dola la Kiislamu ladai kuhusika na mashambulizi mabaya nchini Nigeria”
Mpango mpya wa kusitisha mapigano kati ya Israel na Gaza wapendekezwa
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Afisa mkuu wa Palestina anayefahamu mazungumzo ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Hamas ameiambia BBC, wapatanishi wa Qatar na… Read more “Mpango mpya wa kusitisha mapigano kati ya Israel na Gaza wapendekezwa”
Hisa za kampuni za Marekani na dola vyashuka thamani
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Hisa za kampuni za Marekani na dola ya nchi hiyo vyashuka thamani tena huku Rais Donald Trump akizidisha mashambulizi kwa… Read more “Hisa za kampuni za Marekani na dola vyashuka thamani”
Papa alifariki kutokana na kiharusi na mshtuko wa moyo – Vatican
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kifo cha Papa Francis siku ya Jumatatu akiwa na umri wa miaka 88 kimekuja baada ya kiongozi huyo wa Kanisa… Read more “Papa alifariki kutokana na kiharusi na mshtuko wa moyo – Vatican”