Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: April 2025

Vita vya Sudan: Watoto wafa kiu katika kambi ya Zamzam

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wafanyakazi wa misaada nchini Sudan wameripoti kuwa watoto ni miongoni mwa wanaofariki kwa kiu na njaa, baada ya kulazimika kukimbia… Read more “Vita vya Sudan: Watoto wafa kiu katika kambi ya Zamzam”

April 25, 2025 by CantonaDigital

Urusi ‘tayari kufikia makubaliano na Marekani’ – Lavrov

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergey Lavrov anasema Urusi “iko tayari kufikia makubaliano” na Marekani ili kumaliza vita,… Read more “Urusi ‘tayari kufikia makubaliano na Marekani’ – Lavrov”

April 25, 2025 by CantonaDigital

Ukraine ‘italazimika kuachia’ Urusi baadhi ya maeneo yake- Meya wa Kyiv

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Meya wa jiji kuu la Ukraine, Kyiv, Vitali Klitschko, amesema kuwa huenda Ukraine ikalazimika kutoa sehemu ya ardhi yake kama… Read more “Ukraine ‘italazimika kuachia’ Urusi baadhi ya maeneo yake- Meya wa Kyiv”

April 25, 2025 by CantonaDigital

Rais wa Ghana akosolewa kwa kumsimamisha kazi Jaji Mkuu

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wabunge wa upinzani nchini Ghana wamelaani vikali hatua ya kusimamishwa kazi kwa Jaji Mkuu wa nchi hiyo, wakimtuhumu Rais John… Read more “Rais wa Ghana akosolewa kwa kumsimamisha kazi Jaji Mkuu”

April 25, 2025 by CantonaDigital

Maelfu ya watu waendelea kumuaga Papa Francis

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Maelfu ya watu wanaendelea kupanga foleni katika kanisa kuu la Mtakatifu Petro wakisubiri kutoa heshima zao kwa Papa Francis. Anatarajiwa… Read more “Maelfu ya watu waendelea kumuaga Papa Francis”

April 25, 2025 by CantonaDigital

Majadiliano ya nyuklia kati ya Marekani na Iran kuendelea wikendi

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Marekani yasema mazungumzo na Iran kuhusu makubaliano mapya ya nyuklia yanaendelea vizuri. Akizungumza kabla ya mazungumzo yanayotarajiwa kufanyika Oman siku… Read more “Majadiliano ya nyuklia kati ya Marekani na Iran kuendelea wikendi”

April 25, 2025 by CantonaDigital

Jeshi la Israel lakiri kumuua mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa katika shambulio la Gaza

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Jeshi la Israeli limekiri kuhusika na mauaji ya mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa (UN) kwa kutumia mizinga, baada ya kukana… Read more “Jeshi la Israel lakiri kumuua mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa katika shambulio la Gaza”

April 25, 2025 by CantonaDigital

Nchi 11 zenye uchumi mkubwa barani Afrika mwaka 2025

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Pato la Taifa (GDP) ni kiashirio kikuu kinachotumika kupima ukubwa na uwezo wa uchumi wa nchi. Linawakilisha jumla ya thamani… Read more “Nchi 11 zenye uchumi mkubwa barani Afrika mwaka 2025”

April 25, 2025 by CantonaDigital

China yarejesha ndege za Boeing ilizoagiza Marekani kwa ushuru

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa China imerudisha ndege ilizoagiza kutoka Marekani ikiwa ni tukio la hivi karibuni la kulipiza kisasi ushuru wa Trump, mkuu wa… Read more “China yarejesha ndege za Boeing ilizoagiza Marekani kwa ushuru”

April 24, 2025 by CantonaDigital

Benin inakiri kuwa wanajeshi 54 waliuawa katika shambulio la kundi la al-Qaeda

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Serikali ya Benin imekiri kuwa wanajeshi 54 waliuawa na watu wanaoshukiwa kuwa wanajihadi kaskazini mwa nchi hiyo wiki iliyopita karibu… Read more “Benin inakiri kuwa wanajeshi 54 waliuawa katika shambulio la kundi la al-Qaeda”

April 24, 2025 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...