Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: April 2025

Ushuru mpya: Trump asema hakuna mtu “atakayenusurika ” huku akipendekeza ushuru mpya dhidi ya Uchina

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Marekani Donald Trump amepuuzilia mbali madai kwamba usitishaji wa utekelezaji wa ushuru mpya ulilenga kuzinusuru baadhi ya nchi.… Read more “Ushuru mpya: Trump asema hakuna mtu “atakayenusurika ” huku akipendekeza ushuru mpya dhidi ya Uchina”

April 14, 2025 by CantonaDigital

Serikali ya Ethiopia yatuhumiwa kwa kuwafukuza raia wake kwa nguvu

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty International, limetuhumu serikali ya Ethiopia kwa kuwafurusha kwa nguvu raia wake… Read more “Serikali ya Ethiopia yatuhumiwa kwa kuwafukuza raia wake kwa nguvu”

April 14, 2025 by CantonaDigital

Gabon: Mkuu wa jeshi Oligui Nguema ameshinda uchaguzi wa urais.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kiongozi wa kijeshi nchinik Gabon, Brice Oligui Nguema, amepata ushindi mkubwa kufuatia uchaguzi mkuu wa rais uliofanyika mwishoni mwa juma… Read more “Gabon: Mkuu wa jeshi Oligui Nguema ameshinda uchaguzi wa urais.”

April 14, 2025 by CantonaDigital

Rais Samia aikaribisha Man Utd kuwekeza Tanzania

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Mmiliki wa Klabu… Read more “Rais Samia aikaribisha Man Utd kuwekeza Tanzania”

April 11, 2025 by CantonaDigital

Zambia kuanza ujenzi wa miundo mbinu ya Umeme kuunganisha Tanzania

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Zambia itaanza tena ujenzi wa miundo mbinu ya umeme unaounganisha na Afrika Mashariki, na kuunda moja ya masoko makubwa ya… Read more “Zambia kuanza ujenzi wa miundo mbinu ya Umeme kuunganisha Tanzania”

April 11, 2025 by CantonaDigital

Ruto afurahia kasi ya ujenzi Talanta City

RAIS William Ruto ameonyesha kuridhishwa na hatua ambazo zimepigwa katika ujenzi wa uga wa Talanta Sports City, mtaani Lang’ata, Nairobi. Uga huo utasitiri mashabiki 60,000 wa soka.… Read more “Ruto afurahia kasi ya ujenzi Talanta City”

April 11, 2025 by CantonaDigital

UNAYALINDAJE MACHO YAKO DHIDI YA MTEGO WA MACHO?

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Sina shaka picha uliyoiona hapo chini, ndiyo iliyovuta akili yako haraka kabla hata hujajua nini kinafuata. Hii si ajali. Ni… Read more “UNAYALINDAJE MACHO YAKO DHIDI YA MTEGO WA MACHO?”

April 11, 2025 by CantonaDigital

Soko la hisa Asia laendelea kusuasua baada ya nyongeza ya ushuru wa Trump

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Soko la hisa nchini Japan limefungua likiwa limeshuka kutokana na mazingira ya kusuasua yatokanayo na sera ziazobadilika kwa kasi za… Read more “Soko la hisa Asia laendelea kusuasua baada ya nyongeza ya ushuru wa Trump”

April 11, 2025 by CantonaDigital

Uingereza yatangaza msaada zaidi wa kijeshi kwa Ukraine

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Serikali ya Uingereza imetangaza itaipatia Ukraine msaada zaidi wa kijeshi wa kima cha dola milioni mia nne na hamsini ambazo… Read more “Uingereza yatangaza msaada zaidi wa kijeshi kwa Ukraine”

April 11, 2025 by CantonaDigital

Michelle Obama apuuza uvumi kuhusu talaka kwenye ndoa yake

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Michelle Obama, mke wa rais wa zamani wa Marekani Barack Obama amezungumzia uvumi kuwa ndoa yake inaelekea kuvunjika. Michelle hajaandamana… Read more “Michelle Obama apuuza uvumi kuhusu talaka kwenye ndoa yake”

April 11, 2025 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...