Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: April 2025

Ushuru mpya: Trump asema hakuna mtu “atakayenusurika ” huku akipendekeza ushuru mpya dhidi ya Uchina

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Marekani Donald Trump amepuuzilia mbali madai kwamba usitishaji wa utekelezaji wa ushuru mpya ulilenga kuzinusuru baadhi ya nchi.… Read more “Ushuru mpya: Trump asema hakuna mtu “atakayenusurika ” huku akipendekeza ushuru mpya dhidi ya Uchina”

April 14, 2025 by CantonaDigital

Kijana aliwaua wazazi wake kama sehemu ya njama ya kumuua Trump – FBI

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mwanafunzi wa shule ya upili kutoka Wisconsin aliwaua wazazi wake kama sehemu ya njama kubwa ya kumuua Rais wa Marekani… Read more “Kijana aliwaua wazazi wake kama sehemu ya njama ya kumuua Trump – FBI”

April 14, 2025 by CantonaDigital

Trump: Nitafanya uamuzi kuhusu Iran hivi karibuni

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kwamba anatarajia kutoa uamuzi kuhusu Iran hivi karibuni. Maoni hayo yanajiri baada ya nchi… Read more “Trump: Nitafanya uamuzi kuhusu Iran hivi karibuni”

April 14, 2025 by CantonaDigital

Trump alitaja shambulio dhidi ya Sumy kuwa la kutisha, lakini akataa kuitaja Urusi

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Marekani Donald Trump ametaja shambulio la Urusi dhidi ya mji wa Sumy nchini Ukraine kuwa la kutisha, lakini… Read more “Trump alitaja shambulio dhidi ya Sumy kuwa la kutisha, lakini akataa kuitaja Urusi”

April 14, 2025 by CantonaDigital

Mwanamuziki Katy Perry kusafiri anga za mbali na wanawake wengine watano

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mwanamuziki wa Pop Katy Perry na wanawake wengine watano wanatazamiwa kuelekea anga za juu kwenye chombo cha angani cha utalii… Read more “Mwanamuziki Katy Perry kusafiri anga za mbali na wanawake wengine watano”

April 14, 2025 by CantonaDigital

Algeria kuwatimua maafisa 12 wa ubalozi wa Ufaransa.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Algeria imewataka wafanyakazi 12 wa ubalozi wa Ufaransa kuondoka nchini humo ndani ya saa 48, Waziri wa Mambo ya Nje… Read more “Algeria kuwatimua maafisa 12 wa ubalozi wa Ufaransa.”

April 14, 2025 by CantonaDigital

Tetesi za soka Ulaya Jumapili: Arsenal kumnunua winga wa Real Madrid Arda Guler kwa £35m

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa 13 Aprili 2025 Arsenal wanapanga kuweka dau la pauni milioni 35 kumnunua winga wa Real Madrid mwenye umri wa miaka… Read more “Tetesi za soka Ulaya Jumapili: Arsenal kumnunua winga wa Real Madrid Arda Guler kwa £35m”

April 14, 2025 by CantonaDigital

Wanaoishi karibu na Mto Nairobi wapinga mpango wa kuwahamisha.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Makazi karibu na Mto Nairobi eneo la Kawangware.  MAELFU ya wakazi wa Nairobi wanaoishi karibu na Mto Nairobi na katika… Read more “Wanaoishi karibu na Mto Nairobi wapinga mpango wa kuwahamisha.”

April 14, 2025 by CantonaDigital

Serikali nchini Kenya kudhibiti idadi ya miradi kwa wanakandarasi kukabili uzembe

Rais William Ruto akisalimiana na wafanyakazi kwenye mradi wa ujenzi wa nyumba za bei nafuu. Picha|Hisani SERIKALI inalenga kuanzisha sera ambayo itadhibiti idadi ya miradi ya serikali… Read more “Serikali nchini Kenya kudhibiti idadi ya miradi kwa wanakandarasi kukabili uzembe”

April 14, 2025 by CantonaDigital

Washirika wa Ukraine wailaani Urusi kwa shambulio baya la kombora

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Shambulio la kombora la Urusi katika mji wa Sumy wa Ukraine, ambalo liliua watu 34 – ikiwa ni pamoja na… Read more “Washirika wa Ukraine wailaani Urusi kwa shambulio baya la kombora”

April 14, 2025 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...