Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: April 2025

Watu wakamatwa kwa njama za kutengeneza roketi na silaha Jordan

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Vyombo vya usalama vya Jordan vinasema kuwa vimewakamata watu 16 wanaoshukiwa kupanga mashambulizi ndani ya nchi hiyo yanayohusisha roketi na… Read more “Watu wakamatwa kwa njama za kutengeneza roketi na silaha Jordan”

April 16, 2025 by CantonaDigital

Barcelona na PSG zatinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa ‘mbinde’

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Barcelona na Paris Saint-Germain (PSG) haiku wa kuamkia leo zimetinga hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, licha… Read more “Barcelona na PSG zatinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa ‘mbinde’”

April 16, 2025 by CantonaDigital

Obama asema hatua yaTrump kuzuia ufadhili wa Harvard sio ‘halali’

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa zamani Barack Obama anapongeza uamuzi wa Chuo Kikuu cha Harvard kukataa matakwa ya Ikulu ya White House ya… Read more “Obama asema hatua yaTrump kuzuia ufadhili wa Harvard sio ‘halali’”

April 16, 2025 by CantonaDigital

Rais wa zamani wa Peru na mkewe wahukumiwa kifungo cha miaka 15 jela

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa zamani wa Peru, Ollanta Humala, amepatikana na hatia ya utakatishaji fedha na kuhukumiwa kifungo cha miaka 15 jela.… Read more “Rais wa zamani wa Peru na mkewe wahukumiwa kifungo cha miaka 15 jela”

April 16, 2025 by CantonaDigital

Maldives yapiga marufuku Waisraeli kutembelea nchi yake

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Maldives ilitangaza kuwa imepiga marufuku Waisraeli kuingia katika visiwa vya watalii vya kifahari katika “mshikamano” wa kuunga mkono watu wa… Read more “Maldives yapiga marufuku Waisraeli kutembelea nchi yake”

April 16, 2025 by CantonaDigital

Mchungaji wa Marekani aliyetekwa nyara wakati wa ibada huko aokolewa

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mchungaji wa Marekani ambaye alitekwa nyara na watu wenye silaha wakati wa ibada ya kanisani nchini Afrika Kusini wiki jana… Read more “Mchungaji wa Marekani aliyetekwa nyara wakati wa ibada huko aokolewa”

April 16, 2025 by CantonaDigital

Biden amshambulia Trump kwa mara ya kwanza baada ya kuondoka Ikulu

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Aliyekuwa Rais wa Marekani Joe Biden amekosoa sera za ustawi wa jamii katika utawala wa Trump kwenye hotuba yake ya… Read more “Biden amshambulia Trump kwa mara ya kwanza baada ya kuondoka Ikulu”

April 16, 2025 by CantonaDigital

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano: Man Utd inamtaka kipa Ramsdale

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Bournemouth wamekubali kuwa wataachana na beki wa Kihispania Dean Huijsen msimu huu wa joto, lakini mchezaji huyo mwenye umri wa… Read more “Tetesi za Soka Ulaya Jumatano: Man Utd inamtaka kipa Ramsdale”

April 16, 2025 by CantonaDigital

Tutakulinda kama Wakenya wengine, polisi wamjibu Gachagua

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais William Ruto na aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua. Picha|Maktaba IDARA ya Polisi imemtaka aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua kutoa… Read more “Tutakulinda kama Wakenya wengine, polisi wamjibu Gachagua”

April 16, 2025 by CantonaDigital

Guu ndani, guu nje ndio mchezo wa ODM na serikali

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa VIONGOZI wa ODM wanaendelea kuonyesha mgawanyiko mkubwa huku mguu moja ukionekana ndani ya serikali na mwingine ukiikosoa serikali ushirikiano wa… Read more “Guu ndani, guu nje ndio mchezo wa ODM na serikali”

April 15, 2025 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...