Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: April 2025

Tanzania yatishia kupiga marufuku biashara na Malawi na Afrika Kusini

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Tanzania inatishia kuzuia uagizaji wa bidhaa za kilimo kutoka Malawi na Afrika Kusini ikionya pia kuzuia usafirishaji wa bidhaa za… Read more “Tanzania yatishia kupiga marufuku biashara na Malawi na Afrika Kusini”

April 17, 2025 by CantonaDigital

Wanachama wa bodi ya Kiyahudi Uingereza walaani mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Makumi ya wanachama wa bodi inayowakilisha Wayahudi nchini Uingereza wamelaani serikali ya Israel kwa “vita vya kuvunja moyo” huko Gaza.… Read more “Wanachama wa bodi ya Kiyahudi Uingereza walaani mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza”

April 17, 2025 by CantonaDigital

Obama asema hatua yaTrump kuzuia ufadhili wa Harvard sio ‘halali’

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa zamani Barack Obama anapongeza uamuzi wa Chuo Kikuu cha Harvard kukataa matakwa ya Ikulu ya White House ya… Read more “Obama asema hatua yaTrump kuzuia ufadhili wa Harvard sio ‘halali’”

April 16, 2025 by CantonaDigital

Biden amshambulia Trump kwa mara ya kwanza baada ya kuondoka Ikulu

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Aliyekuwa Rais wa Marekani Joe Biden amekosoa sera za ustawi wa jamii katika utawala wa Trump kwenye hotuba yake ya… Read more “Biden amshambulia Trump kwa mara ya kwanza baada ya kuondoka Ikulu”

April 16, 2025 by CantonaDigital

Tathmini ya maandamano ya Msumbiji mwaka jana – ripoti ya Amnesty International

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Vikosi vya usalama vya Msumbiji vimetuhumiwa kutumia nguvu kupita kiasi katika juhudi za kukabiliana na maandamano ya muda mrefu, hali… Read more “Tathmini ya maandamano ya Msumbiji mwaka jana – ripoti ya Amnesty International”

April 16, 2025 by CantonaDigital

Mwanamke anafasiriwa kwa jinsia ya kuzaliwa- Mahakama

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mahakama Kuu ya Uingereza imeamua kwamba mwanamke, kwa mujibu wa sheria, ni mtu aliyezaliwa akiwa na jinsia ya kike. Majaji… Read more “Mwanamke anafasiriwa kwa jinsia ya kuzaliwa- Mahakama”

April 16, 2025 by CantonaDigital

Bunge la Urusi laidhinisha mkataba wa miaka 20 na Iran

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Baraza la Bunge la juu la Urusi, limeidhinisha mkataba wa kimkakati kati ya nchi hiyo na Iran. Mkataba huo ni… Read more “Bunge la Urusi laidhinisha mkataba wa miaka 20 na Iran”

April 16, 2025 by CantonaDigital

China yamteua mjumbe mpya wa biashara ili kukabiliana na msukosuko wa ushuru wa Trump

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Katika hali ya kushtukizia China imemteua mjumbe mpya wa biashara ambaye atapambana na vita vya kibiashara vinavyoendelea kati yake na… Read more “China yamteua mjumbe mpya wa biashara ili kukabiliana na msukosuko wa ushuru wa Trump”

April 16, 2025 by CantonaDigital

Real Madrid ina shughuli pevu ya kufuzu nusu fainali dhidi ya Arsenal

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mabingwa mara 15 wa michuano ya klabu bingwa barani ulaya Real Madrid ni sharti wafanye maajabu hii leo usiku katika… Read more “Real Madrid ina shughuli pevu ya kufuzu nusu fainali dhidi ya Arsenal”

April 16, 2025 by CantonaDigital

Waasi wa RSF watangaza serikali mbadala Sudan

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Waasi wametangaza kuundwa kwa serikali mbadala, katika nchi ambayo imekuwa vitani kwa miaka miwili ambavyo vimesababisha mzozo mkubwa wa kibinadamu… Read more “Waasi wa RSF watangaza serikali mbadala Sudan”

April 16, 2025 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...