Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: April 2025

IMF kuipa Tanzania dola Milioni 441 kusaidia Uchumi wake

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Shirika la Fedha Duniani (IMF) limetangaza kuwa limefikia makubaliano ya awali na serikali ya Tanzania ambayo yakipitishwa rasmi, yataiwezesha nchi… Read more “IMF kuipa Tanzania dola Milioni 441 kusaidia Uchumi wake”

April 18, 2025 by CantonaDigital

Je, kurudi DR Congo kwa Joseph Kabila kuna maana gani wakati huu wa vita?

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa zamani wa DR Congo, Joseph Kabila ameahidi kurejea Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo baada ya kutokuwepo kwa miaka… Read more “Je, kurudi DR Congo kwa Joseph Kabila kuna maana gani wakati huu wa vita?”

April 17, 2025 by CantonaDigital

Arsenal yaiondoa Madrid kwa aibu, yatinga nusu fainali ya UCL kukutana na PSG

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Arsenal imetinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa kwa mara ya tatu katika historia ya klabu hiyo baada ya kuwachabanga… Read more “Arsenal yaiondoa Madrid kwa aibu, yatinga nusu fainali ya UCL kukutana na PSG”

April 17, 2025 by CantonaDigital

Jinsi Urusi inavyonyakua nyumba za raia wa Ukraine huko Mariupol

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mamlaka ya Urusi imeteka maelfu ya makazi kutoka kwa wakaazi wa Ukraine waliotorioka mjini Mariupol, uchunguzi wa BBC Verify umegundua… Read more “Jinsi Urusi inavyonyakua nyumba za raia wa Ukraine huko Mariupol”

April 17, 2025 by CantonaDigital

Wanajeshi wa Israel watasalia katika ‘maeneo salama’ ya Gaza baada ya vita – waziri

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Waziri wa ulinzi wa Israel amesema wanajeshi watasalia katika kile kinachoitwa maeneo salama waliyoyaanzisha kwa kuyateka maeneo makubwa ya Gaza… Read more “Wanajeshi wa Israel watasalia katika ‘maeneo salama’ ya Gaza baada ya vita – waziri”

April 17, 2025 by CantonaDigital

Qatar kufadhili mishahara ya jeshi la Lebanon

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Qatar itatoa upya ruzuku ya dola milioni sitini kufadhili mishahara ya jeshi la Lebanon na kutoa magari kadhaa ya jeshi.… Read more “Qatar kufadhili mishahara ya jeshi la Lebanon”

April 17, 2025 by CantonaDigital

Takriban watu 50 walifariki baada ya boti kushika moto DR Congo

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Boti ya mbao yenye injini iliyokuwa na abiria wapatao 400 ilishika moto na kupinduka karibu na mji wa Mbandaka. Ajali… Read more “Takriban watu 50 walifariki baada ya boti kushika moto DR Congo”

April 17, 2025 by CantonaDigital

Utawala wa Trump unasema Harvard inaweza kupoteza uwezo wa kusajili wanafunzi wa kigeni

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wizara ya Usalama wa Ndani ya Marekani ilisema Chuo Kikuu cha Harvard kitapoteza uwezo wa kusajili wanafunzi wa kigeni ikiwa… Read more “Utawala wa Trump unasema Harvard inaweza kupoteza uwezo wa kusajili wanafunzi wa kigeni”

April 17, 2025 by CantonaDigital

Marekani kufanya mazungumzo juu ya Ukraine na Ulaya

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mjumbe maalum wa Donald Trump Steve Witkoff na mwanadiplomasia mkuu Marco Rubio watafanya mazungumzo na viongozi wa Ulaya mjini Paris… Read more “Marekani kufanya mazungumzo juu ya Ukraine na Ulaya”

April 17, 2025 by CantonaDigital

China yageukia Canada kwa uagizaji mafuta badala ya Marekani

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa China imegeukia uagizaji wa mafuta kutoka Canada baada ya kupunguza uagizaji wa bidhaa hiyo kutoka Marekani kwa karibu asilimia 90… Read more “China yageukia Canada kwa uagizaji mafuta badala ya Marekani”

April 17, 2025 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...