Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Qatar itatoa upya ruzuku ya dola milioni sitini kufadhili mishahara ya jeshi la Lebanon na kutoa magari kadhaa ya jeshi.
Tangazo hilo linawadia wakati wa ziara rasmi ya kwanza ya Doha na rais wa Lebanon, Joseph Aoun.
Serikali ya Qatari ilisema ruzuku hiyo ni kusaidia vikosi vya Lebanon kudumisha utulivu na kudhibiti mipaka ya nchi hiyo, kufuatia kusitisha mapigano ya Hezbollah na Israeli mnamo mwezi Novemba.
All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.