Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchini DRC, vita vya mashariki mwa nchi hiyo kati ya majeshi ya Kongo na washirika wao dhidi ya kundi la… Read more “Mashariki mwa DRC: Mamlaka yatathmini ‘mapambano ya kijeshi na diplomasia’”
Month: January 2025
Guinea: Serikali yasitisha vyama vya siasa visivyokuwa na idhini ya kiutawala
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchini Guinea, serikali imesitisha vyama vya siasa ambavyo havidhaidhinishwa, matokeo ya kampeni ya tathmini ya vyama vyote vya nchi hiyo… Read more “Guinea: Serikali yasitisha vyama vya siasa visivyokuwa na idhini ya kiutawala”
Gabon: Wabunge wa mpito wachunguza rasimu kubwa ya sheria kuhusu kanuni mpya ya uchaguzi
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchini Gabon, wabunge wa mpito wanaitwa kwenye kikao kisicho cha kawaida kuanzia Januari 10, 2025, kwa siku kumi. Watachunguza rasimu… Read more “Gabon: Wabunge wa mpito wachunguza rasimu kubwa ya sheria kuhusu kanuni mpya ya uchaguzi”
Korea Kusini: Mkuu wa usalama wa Rais Park Chong-jun ajiuzulu
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mkuu wa kitengo cha ulinzi wa rais wa Korea Kusini aliyeondolewa madarakani Yoon Suk-yeol, ambaye timu yake ilimzuia kukamatwa na… Read more “Korea Kusini: Mkuu wa usalama wa Rais Park Chong-jun ajiuzulu”
DR Congo: OCHA yaonya kuhusu kuzorota kwa hali mbaya ya kibinadamu Kivu Kaskazini
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Tume ya Umoja wa Mataifa inayoshughulika na masuala ya kubinadamu OCHA, inaonya kuwa, hali ya kibinadamu inaendelea kuwa mbaya katika… Read more “DR Congo: OCHA yaonya kuhusu kuzorota kwa hali mbaya ya kibinadamu Kivu Kaskazini”
Somalia: Rais Hassan Sheikh Mohamud kuzuru Ethiopia katika harakati za hivi punde za amani
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud anazuru Ethiopia, wakati huu nchi hizo mbili zikiendelea kuimarisha tena uhusiano wao uliyokuwa umeyumba.… Read more “Somalia: Rais Hassan Sheikh Mohamud kuzuru Ethiopia katika harakati za hivi punde za amani”
Vifo vya watu 10 vyathibitishwa katika moto mkali huko Los Angeles
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Moto wa nyika huko Los Angeles umesababisha vifo vya takribani watu 10, huku maafisa wakionya kwamba upepo mkali unaweza kuzidisha… Read more “Vifo vya watu 10 vyathibitishwa katika moto mkali huko Los Angeles”
Wanajeshi kadhaa wauawa Kaskazini mwa Benin
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mamlaka nchini Benin zimesema kuwa wanajeshi kadhaa wameuawa katika shambulio lililotokea kaskazini mwa nchi, huku kukiwa na wasiwasi kuhusu uasi… Read more “Wanajeshi kadhaa wauawa Kaskazini mwa Benin”
Kutokuwepo kwa utulivu mashariki mwa Congo kumetokana na historia ya kikoloni – Kagame
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Rwanda Paul Kagame amesisitiza kuwa wapiganaji wa Kundi la M23 wanaozua ghasia nchini DR Congo hawafadhiliwi na serikali… Read more “Kutokuwepo kwa utulivu mashariki mwa Congo kumetokana na historia ya kikoloni – Kagame”
Mtawa mwenye utata afungwa jela kwa kuutusi Uislamu
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mtawa mwenye misimamo mikali nchini Sri Lanka ambaye ni mshirika wa karibu wa rais wa zamani aliyeondolewa madarakani Gotabaya Rajapaksa,… Read more “Mtawa mwenye utata afungwa jela kwa kuutusi Uislamu”