Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais William Ruto akizungumza kanisani Dagoretti. Picha|PCS RAIS William Ruto amewakashifu wapinzani wake wanaobashiri kuwa atahudumu kwa muhula mmoja pekee… Read more “Rais wa Kenya William Ruto awakemea wanaobashiri atapoteza kiti 2027”
Month: January 2025
Nchini Kenya,Mipango ya Gachagua kupata chama inaendelea, asubiriwa kutoa tangazo
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Aliyekuwa Naibu wa Rais Rigathi Gachagua. Picha|Hisani ALIYEKUWA Naibu Rais Rigathi Gachagua ameanza kujenga nyumba yake ya kisiasa huku akijipanga… Read more “Nchini Kenya,Mipango ya Gachagua kupata chama inaendelea, asubiriwa kutoa tangazo”
Kipenga cha Michezo
Tetesi za soka Ulaya Jumamosi: Aston Villa waongeza dau kwa mshambuliaji Donyell Malen Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Aston Villa wameongeza dau la kumnunua mshambuliaji… Read more “Kipenga cha Michezo”
Zijue nchi za Afrika zisizoruhusu uraia pacha, zipo za Afrika Mashariki
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Uraia wa nchi mbili ni kinyume cha sheria katika nchi kadhaa za Kiafrika. Lakini uraia huo hutoa manufaa mbalimbali, ikiwa… Read more “Zijue nchi za Afrika zisizoruhusu uraia pacha, zipo za Afrika Mashariki”
Malkia wa Hisabati akiwa na misheni ya kuwainua wasichana
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Akijulikana nchini Ghana kama Malkia wa Hesabu, Dk Angela Tabiri ndiye Mwafrika wa kwanza kushinda shindano la Big Internet Math… Read more “Malkia wa Hisabati akiwa na misheni ya kuwainua wasichana”
Kesi ya Stormy Daniels: Donald Trump afutiwa adhabu baada ya kuhukumiwa.
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Jaji wa New York siku ya Ijumaa asubuhi amempa Donald Trump msamaha wa hukumu katika kesi ya malipo ya siri… Read more “Kesi ya Stormy Daniels: Donald Trump afutiwa adhabu baada ya kuhukumiwa.”
Sudani: Njaa yaenea, zaidi ya watoto milioni tatu wako katika hatari ya utapiamlo mkali.
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mashirika ya Umoja wa Mataifa yanaendelea kuonya juu ya hali mbaya nchini Sudani inayokumbwa na baa la njaa, huku watu… Read more “Sudani: Njaa yaenea, zaidi ya watoto milioni tatu wako katika hatari ya utapiamlo mkali.”
Venezuela: Nicolas Maduro aapishwa kwa muhula wa tatu wa miaka sita
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Venezuela Nicolas Maduro, ambaye kuchaguliwa kwake tena kunapingwa na upinzani, ambao unadai ushindi na unalalamikia udanganyifu, ameapishwa siku… Read more “Venezuela: Nicolas Maduro aapishwa kwa muhula wa tatu wa miaka sita”
Uturuki yaitaka Paris kuwarejesha nyumbani wanajihadi wa Ufaransa walioko Syria
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Uturuki inaiomba Ufaransa kuwarejesha nyumbani wanajihadi wa Ufaransa wanaozuiliwa na wanajeshi wa Kikurdi nchini Syria, ambao Ankara inatishia kufanya mashambulizi… Read more “Uturuki yaitaka Paris kuwarejesha nyumbani wanajihadi wa Ufaransa walioko Syria”
Gaza: Idadi ya vifo yakadiriwa kufikia 41%, kulingana na utafiti uliochapishwa The Lancet
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Utafiti uliochapishwa siku ya Alhamisi, Januari 9, katika Jarida maarufu la matibabu la Uingereza la The Lancet inakadiria kwamba idadi… Read more “Gaza: Idadi ya vifo yakadiriwa kufikia 41%, kulingana na utafiti uliochapishwa The Lancet”