Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: January 2025

Kipenga cha Michezo-13-01-2025-RFA

Tetesi za soka Ulaya Jumatatu: AC Milan, Inter Milan wamuwania Walker Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mlinzi wa kulia wa Uingereza Kyle Walker, 34, anatazamiwa… Read more “Kipenga cha Michezo-13-01-2025-RFA”

January 13, 2025 by CantonaDigital

Mamilioni ya watu waanza kuoga kwenye mito mitakatifu katika tamasha kubwa zaidi la Wahindu

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mamilioni ya watu wanahudhuria tamasha la Kihindu la Kumbh Mela – linalofafanuliwa kama mkusanyiko mkubwa zaidi wa watu – katika… Read more “Mamilioni ya watu waanza kuoga kwenye mito mitakatifu katika tamasha kubwa zaidi la Wahindu”

January 13, 2025 by CantonaDigital

India: Mwanamke adai kubakwa na wanaume 64 katika kipindi cha miaka mitano

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mwanamke mwenye umri wa miaka 18 wa Dalit kutoka jimbo la Kerala kusini mwa India amewashutumu wanaume 64 kwa kumdhulumu… Read more “India: Mwanamke adai kubakwa na wanaume 64 katika kipindi cha miaka mitano”

January 13, 2025 by CantonaDigital

Ukraine inasema imezima shambulio la ndege zisizo na rubani la Urusi

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Urusi imefanya shambulizi la ndege zisizo na rubani 110 za aina ya Shahed, Ukraine imesema. Jumla ya ndege 78 zilidunguliwa… Read more “Ukraine inasema imezima shambulio la ndege zisizo na rubani la Urusi”

January 13, 2025 by CantonaDigital

Sudan: Maelfu wakimbia kusini mwa Sudan huku mapigano yakizidi kuongezeka

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchini Sudan, maelfu ya raia katika mji wa Um Rawaba, uliopo kwenye jimbo la Kordofan ya Kaskazini, wamekimbia makwao kutokana… Read more “Sudan: Maelfu wakimbia kusini mwa Sudan huku mapigano yakizidi kuongezeka”

January 13, 2025 by CantonaDigital

Niger: Eva Gretzmacher, raia wa Austria, atekwa nyara Agadez

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wizara ya Mambo ya Nje ya Austria imethibitisha Jumapili, Januari 12, kutekwa nyara kwa raia wa Austria huko Agadez, kaskazini… Read more “Niger: Eva Gretzmacher, raia wa Austria, atekwa nyara Agadez”

January 13, 2025 by CantonaDigital

LA: Idadi ya waliofariki katika moto wa nyikani yaongezeka huku upepo mkali ukitarajiwa

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Watabiri wa hali ya hewa huko California wanaonya upepo mkali ambao ulisababisha moto karibu na Los Angeles unatarajiwa kushika kasi… Read more “LA: Idadi ya waliofariki katika moto wa nyikani yaongezeka huku upepo mkali ukitarajiwa”

January 13, 2025 by CantonaDigital

‘Niko tayari kwa mabadilishano ya wanajeshi wa Korea Kaskazini’ – Zelensky

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema yuko tayari kuwakabidhi wanajeshi wawili waliokamatwa kutoka Korea Kaskazini kurudi katika nchi yao ili… Read more “‘Niko tayari kwa mabadilishano ya wanajeshi wa Korea Kaskazini’ – Zelensky”

January 13, 2025 by CantonaDigital

Taliban ‘hawaoni wanawake kama binadamu’, asema Malala

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Malala Yousafzai amewataka viongozi wa Kiislamu kuipinga serikali ya Taliban nchini Afghanistan na sera zake za ukandamizaji kwa wasichana na… Read more “Taliban ‘hawaoni wanawake kama binadamu’, asema Malala”

January 13, 2025 by CantonaDigital

Walimu wakuu nchini Kenya, wameanza kuwatuma nyumbani wanafunzi kwa karo wiki moja baada ya kufungua shule

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wanafunzi wakitembea katika barabara awali. Picha|Maktaba WIKI moja tu baada ya shule kufunguliwa kwa muhula wa kwanza, walimu wakuu wameanza… Read more “Walimu wakuu nchini Kenya, wameanza kuwatuma nyumbani wanafunzi kwa karo wiki moja baada ya kufungua shule”

January 13, 2025 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...