Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: January 2025

VITA unayopigwa haitokani sana na ulivyo au ulichonacho leo.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wengi wanaokupiga vita ni kwa sababu wanaogopa ukuu wako wa kesho. Hii ndio maana, kuna wakati utaona mtu amekuzidi kila… Read more “VITA unayopigwa haitokani sana na ulivyo au ulichonacho leo.”

January 14, 2025 by CantonaDigital

Aina 5 Za Mipaka Ambayo Familia Huwekewa…

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa i. Elimu na Kaziii. Mahusiano Na Familiaiii. Vifo Kabla Ya WakatIiv. Kukataliwav. Fedha Na Uchumi Leo katika makala hii tutaangalia… Read more “Aina 5 Za Mipaka Ambayo Familia Huwekewa…”

January 14, 2025 by CantonaDigital

Ukraine: Wanajeshi wa Korea Kaskazini wahimizwa kujiua ili kuepuka kukamatwa

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Korea Kaskazini inawahimiza wanajeshi wake waliotumwa Urusi kupigana dhidi ya Ukraine kujiua ili kuepusha kukamatwa, mbunge wa Korea Kusini amesema… Read more “Ukraine: Wanajeshi wa Korea Kaskazini wahimizwa kujiua ili kuepuka kukamatwa”

January 13, 2025 by CantonaDigital

Morocco: Ugunduzi wa aina ya nyoka wa baharini ambao walitoweka mamilioni ya miaka iliyopita

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchini Morocco, mabaki yamegunduliwa katika amana za phosphate, mabaki ya bahari ya zamani, uchambuzi ambao unaendelea kufunua siri nyingi. Katika… Read more “Morocco: Ugunduzi wa aina ya nyoka wa baharini ambao walitoweka mamilioni ya miaka iliyopita”

January 13, 2025 by CantonaDigital

Waziri wa Mambo ya Nje wa Japani aitembelea Korea Kusini kwa mara ya kwanza baada ya miaka sita

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Waziri wa Mambo ya Nje wa Japani Takeshi Iwaya atakutana na mwenzake Cho Tae-yul nchini Korea Kusini Jumatatu, Januari 13,… Read more “Waziri wa Mambo ya Nje wa Japani aitembelea Korea Kusini kwa mara ya kwanza baada ya miaka sita”

January 13, 2025 by CantonaDigital

Gabon: Bunge la Mpito laendelea na uchunguzi wa rasimu ya sheria kuhusu kanuni mpya za uchaguzi

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchini Gabon, wabunge, ambao wako katikati ya likizo yao ya ubunge, wameitwa kwa kikao kisicho cha kawaida. Hii imejikita katika… Read more “Gabon: Bunge la Mpito laendelea na uchunguzi wa rasimu ya sheria kuhusu kanuni mpya za uchaguzi”

January 13, 2025 by CantonaDigital

Marekani: Joe Biden aaga kisiasa kwa mataifa mengine duniani

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Ni wiki ya mwisho kwa Joe Biden katika Ikulu ya White House. Rais wa Marekani anatarajiwa kutoa hotuba ya kuaga… Read more “Marekani: Joe Biden aaga kisiasa kwa mataifa mengine duniani”

January 13, 2025 by CantonaDigital

Uganda: Kesi ya Kizza Besigye kusikilizwa tena mbele ya mahakama ya kijeshi ya Kampala

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kesi mbele ya mahakama ya kijeshi ya Kampala inayomkabili Kizza Besigye, mpinzani wa kihistoria wa Rais wa Uganda Yoweri Museweni,… Read more “Uganda: Kesi ya Kizza Besigye kusikilizwa tena mbele ya mahakama ya kijeshi ya Kampala”

January 13, 2025 by CantonaDigital

Sudan: Jeshi laukomboa mji mwingine wa kimkakati katika jimbo la Gezira

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Jeshi limetangaza kuwa limeudhibiti mji mwingine muhimu wa Gezira, siku moja baada ya kuuteka mji mkuu wa jimbo hilo la… Read more “Sudan: Jeshi laukomboa mji mwingine wa kimkakati katika jimbo la Gezira”

January 13, 2025 by CantonaDigital

Jeshi la Nigeria lawaua raia 16 ‘kimakosa’ katika shambulio la anga

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Takriban raia 16 katika Jimbo la Zamfara kaskazini-magharibi mwa Nigeria wameuawa katika shambulio la anga la kijeshi, baada ya kudhaniwa… Read more “Jeshi la Nigeria lawaua raia 16 ‘kimakosa’ katika shambulio la anga”

January 13, 2025 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...