Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: January 2025

Rwanda inasema imepata mafuta katika Ziwa Kivu

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rwanda imesema Jumatano kuwa imefanya ugunduzi wa mafuta katika Ziwa Kivu, ikiwa ni kwa mara ya kwanza katika nchi isiyo… Read more “Rwanda inasema imepata mafuta katika Ziwa Kivu”

January 16, 2025 by CantonaDigital

Kipenga cha Michezo-Tetesi za soka Ulaya Jumatano: Chelsea wataka £65m kwa ajili ya Nkunku

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Chelsea itataka ada ya pauni milioni 65 kwa mshambuliaji Christopher Nkunku, 27, huku Bayern Munich ikimtaka mchezaji huyo wa kimataifa… Read more “Kipenga cha Michezo-Tetesi za soka Ulaya Jumatano: Chelsea wataka £65m kwa ajili ya Nkunku”

January 15, 2025January 15, 2025 by CantonaDigital

Rais wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol amekamatwa

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchini Korea Kusini, rais Yoon Suk Yeol, aliyeondolewa madarakani na wabunge baada ya kutangaza matumizi ya sheria za kijeshi ili… Read more “Rais wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol amekamatwa”

January 15, 2025 by CantonaDigital

Watu wanane wafariki katika mlipuko unaoshukiwa kuwa wa virusi vya Marburg Tanzania

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema mlipuko unaoshukiwa kuwa wa virusi vya ugonjwa wa Marburg umewaua watu wanane katika mkoa… Read more “Watu wanane wafariki katika mlipuko unaoshukiwa kuwa wa virusi vya Marburg Tanzania”

January 15, 2025 by CantonaDigital

Nchini Kenya, Uvundo wa Mungiki unavyoendelea kumuandama Maina Njenga licha ya ‘kuokoka’

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Aliyekuwa kiongozi wa kundi la Mungiki Maina Njenga ALIYEKUWA kiongozi wa kundi haramu la Mungiki Maina Njenga anaonekana kuendelea kuandamwa… Read more “Nchini Kenya, Uvundo wa Mungiki unavyoendelea kumuandama Maina Njenga licha ya ‘kuokoka’”

January 15, 2025 by CantonaDigital

Nchini Kenya raia wa kigeni 50 wakitekwa nyara.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kiongozi wa Upinzani Uganda Kizza Besigye (kushoto) na mwanaharakati wa Tanzania Maria Sarungi KWA miaka mingi, raia wa kigeni walidhani… Read more “Nchini Kenya raia wa kigeni 50 wakitekwa nyara.”

January 15, 2025 by CantonaDigital

Nchini Kenya wewe Muturi tutakufanyia kama Gachagua, Osoro achemka.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Waziri Justin Muturi (kushoto) na Kiranja wa Wengi Silvanus Osoro.  KIRANJA wa Wengi katika Bunge la Kitaifa na Mbunge wa… Read more “Nchini Kenya wewe Muturi tutakufanyia kama Gachagua, Osoro achemka.”

January 15, 2025 by CantonaDigital

Kipenga Cha Michezo-Song ateuliwa kuwa kocha wa Jamhuri ya Afrika ya Kati

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Beki wa zamani wa Liverpool na West Ham Rigobert Song ameteuliwa kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya Jamhuri… Read more “Kipenga Cha Michezo-Song ateuliwa kuwa kocha wa Jamhuri ya Afrika ya Kati”

January 14, 2025January 14, 2025 by CantonaDigital

Glasi moja ya maziwa hupunguza hatari ya kupata saratani ya utumbo – utafiti

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Utafiti uliofanyika Uingereza umepata ushahidi kwamba watu wanao kula kalsiamu zaidi katika milo yao – inaweza kuwasaidia kupunguza hatari ya… Read more “Glasi moja ya maziwa hupunguza hatari ya kupata saratani ya utumbo – utafiti”

January 14, 2025 by CantonaDigital

Makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza yanakamilika, afisa wa Palestina amesema

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Masharti ya makubaliano kati ya Israel na Hamas kwa ajili ya kusitisha mapigano Gaza na kuachiliwa kwa mateka yanakamilika, afisa… Read more “Makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza yanakamilika, afisa wa Palestina amesema”

January 14, 2025 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...