Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Dunia imeukaribisha mpya wa mwaka 2025 kwa furaha, kwa maombi na kwa maonyesho ya kuvutia ya fataki. New Zealand na… Read more “Dunia yakaribisha mwaka 2025 kwa shangwe, hofu na matumaini”
Month: January 2025
Macron: 2025, Wafaransa wanapaswa kuwa na uwezo wa ‘kutatua baadhi ya maswala yenye maamuzi’
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amelihutubia taifa akiwatakia WafaransaHeri ya Mwaka Mpya wa 2025. Hotuba hiyo ameitoa saa 2:00 usiku… Read more “Macron: 2025, Wafaransa wanapaswa kuwa na uwezo wa ‘kutatua baadhi ya maswala yenye maamuzi’”
Guinea: Ruksa kwa vyama vya siasa kuanza shughuli zao
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchini Guinea, “2025 utakuwa mwaka wa uchaguzi” ametangaza Rais Mamadi Doumbouya kwenye televisheni ya taifa wakati wa kuukaribiha Mwaka Mpya.… Read more “Guinea: Ruksa kwa vyama vya siasa kuanza shughuli zao”
Senegal: Rais Bassirou Faye atangaza ‘mwisho wa uwepo wa jeshi la kigeni kuanzia 2025’
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Senegal Bassirou Diomaye Faye ametangaza, siku ya Jumanne, Desemba 31, “mwisho wa uwepo wote wa kijeshi wa nchi… Read more “Senegal: Rais Bassirou Faye atangaza ‘mwisho wa uwepo wa jeshi la kigeni kuanzia 2025’”
Italia: Milan yapiga marufuku sigara katika maeneo yote ya umma, hata nje
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Huko Milan, uvutaji sigara sio mtindo tena: mji mkuu wa Italia wa mitindo na fedha umeamua kupiga marufuku sigara nje… Read more “Italia: Milan yapiga marufuku sigara katika maeneo yote ya umma, hata nje”
Somalia: Kikosi kipya cha kulinda amani nchini Somalia kinachukua nafasi ya ATMIS
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchini Somalia kikosi kipya cha kulinda amani na kupambana na kundi la kigaidi la Al-Shabaab, kinaanza kazi kuchukua nafasi ya… Read more “Somalia: Kikosi kipya cha kulinda amani nchini Somalia kinachukua nafasi ya ATMIS”
Ukraine yaacha kupokea gesi ya Urusi inayosafirishwa kwenda EU
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Usambazaji wa gesi ya Urusi kwa mataifa ya Umoja wa Ulaya kupitia Ukraine umemalizika baada ya mkataba wa miaka mitano… Read more “Ukraine yaacha kupokea gesi ya Urusi inayosafirishwa kwenda EU”