Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mwandishi wa habari kutoka Gazeti la kila siku la Il Foglio na shirika la habari la Chora Media, Cecilia Sala,… Read more “Italia yapaza sauti dhidi ya Iran, wiki mbili baada ya kukamatwa kwa Cecilia Sala”
Month: January 2025
Senegal: Upi mustakabali wa APR na kiongozi wake Macky Sall?
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Baada ya kumaliza muda wake kama rais wa Senegal mwezi Aprili, alichaguliwa kuwa mbunge mwezi Novemba na kujiuzulu mamlaka yake… Read more “Senegal: Upi mustakabali wa APR na kiongozi wake Macky Sall?”
Guinea: Mwanasiasa wa upinzani Aliou Bah amombwa kufungwa miaka miwili jela.
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Katika kesi ya kiongozi wa chama cha MoDeL kwa “matusi na kashfa” dhidi ya mkuu wa utawala wa kijeshi, Jenerali… Read more “Guinea: Mwanasiasa wa upinzani Aliou Bah amombwa kufungwa miaka miwili jela.”
Kundi la Islamic Jihad la Gaza lasema mateka mmoja amejaribu kujiua
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mateka mmoja anayeshikiliwa na kundi la wanamgambo wa Islamic Jihad huko Gaza amejaribu kujiua, msemaji wa kundi hilo amesema katika… Read more “Kundi la Islamic Jihad la Gaza lasema mateka mmoja amejaribu kujiua”
Italia yamuita balozi wa Iran huku ikitaka mwanahabari aachiliwe
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wizara ya mambo ya nje ya Italia imemwita balozi wa Iran siku ya Alhamisi na kutaka aachiliwe mwanahabari Cecilia Sala… Read more “Italia yamuita balozi wa Iran huku ikitaka mwanahabari aachiliwe”
Afisa wa Polisi aripotiwa kuwaua raia wawili wa China huko Congo
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Afisa wa Polisi katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo anatuhumiwa kuwaua raia wawili wa China na kumjeruhi mwingine… Read more “Afisa wa Polisi aripotiwa kuwaua raia wawili wa China huko Congo”
Nigeria yaonya raia wake kutosafiri kwenda Australia juu ya hatari ya “ubaguzi”
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nigeria inajibu baada ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Australia kutoa onyo ikiwashauri vikali raia wake kutosafiri katika nchi… Read more “Nigeria yaonya raia wake kutosafiri kwenda Australia juu ya hatari ya “ubaguzi””
Je, bara la Afrika litawakilishwa vyema katika taasisi za kimataifa mwaka wa 2025?
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Zikiwa na uwakilishi mdogo katika taasisi mbali mbali za kimataifa, nchi kadhaa za Kiafrika zinaomba kwa dhati nafasi ya kufanywa… Read more “Je, bara la Afrika litawakilishwa vyema katika taasisi za kimataifa mwaka wa 2025?”
DR Congo: Tshisekedi atangaza msamaha wa rais kwa wafungwa.
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa DRC Félix Tshisekedi, ametangaza msamaha kwa wafungwa mbalimbali, lakini haijafahamika iwapo wafungwa wa kisiasa wa kutoka vyama vya… Read more “DR Congo: Tshisekedi atangaza msamaha wa rais kwa wafungwa.”
Shamsud-Din Jabbar: Je, aliyetekeleza mashambulizi ya New orleans ni nani?
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa FBI imemtaja mshambuliaji kuwa Shamsud-Din Jabbar mwenye umri wa miaka 42 – mwanajeshi mkongwe na raia wa Marekani kutoka Texas.… Read more “Shamsud-Din Jabbar: Je, aliyetekeleza mashambulizi ya New orleans ni nani?”