Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Raia watatu wa China, waliokamatwa na dhahabu na kiasi kikubwa cha fedha mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC),… Read more “Wachina 3 waliokamatwa na vyuma vya dhahabu DRC wahukuliwa kifungo jela”
Month: January 2025
Australia: Mshawishi wa mtandaoni ashtakiwa kwa kumtilia mtoto wake sumu
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mwanamke mwenye ushawishi mkubwa nchini Australia ameshtakiwa kwa kumtilia sumu mtoto wake wa kike ili kuchangisha pesa na kuongeza wafuasi… Read more “Australia: Mshawishi wa mtandaoni ashtakiwa kwa kumtilia mtoto wake sumu”
Tanzania yasema sampuli zilizopimwa hazijathibitisha uwepo wa virusi vya Marburg
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Serikali ya Tanzania imesema kuwa sampuli zilizochukuliwa hazijathibitisha uwepo wa virusi vya Marburg, hayo ni kulingana na taarifa iliyotolewa na… Read more “Tanzania yasema sampuli zilizopimwa hazijathibitisha uwepo wa virusi vya Marburg”
Biden aonya juu ya utawala wa “wachache” katika hotuba yake ya kuaga watu kabla ya Trump kuapishwa.
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais anayemaliza muda wake wa Marekani Joe Biden ameonya juu ya utawala wa “wachache” unaojitokeza Marekani, alipokuwa akitoa hotuba yake… Read more “Biden aonya juu ya utawala wa “wachache” katika hotuba yake ya kuaga watu kabla ya Trump kuapishwa.”
Mwanamke alaghaiwa $850,000 na waliojifanya mwigizaji Brad Pitt iliyoundwa na akili mnemba
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mwanamke mmoja Mfaransa alilaghaiwa $850,000 na wanaojifanya mwigizaji Brad Pitt kwa usaidizi wa akili mnemba. Kisa hicho kilitangazwa na kituo… Read more “Mwanamke alaghaiwa $850,000 na waliojifanya mwigizaji Brad Pitt iliyoundwa na akili mnemba”
Baraza la mawaziri la Israel kuidhinisha makubaliano ya kusitisha mapigano
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Taarifa tunazoendelea kuzipa kipaumbele ni za Hamas na Israeli kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano na kuwaachilia mateka baada ya miezi… Read more “Baraza la mawaziri la Israel kuidhinisha makubaliano ya kusitisha mapigano”
Chama cha DP nchini Kenya, chasema kiko tayari kumhifadhi Gachagua na washirika
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Naibu Rais aliyetimuliwa mamlakani Rigathi Gachagua. Picha|Maktaba CHAMA cha Democratic Party of Kenya (DP), kilichoanzishwa na aliyekuwa Rais Mwai Kibaki,… Read more “Chama cha DP nchini Kenya, chasema kiko tayari kumhifadhi Gachagua na washirika”
Nchini Kenya,Kampuni zalemea NCPB kwa ununuzi wa mahindi kwa njia ya ujanja
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa KAMPUNI za kusaga unga zimebadili mbinu na kukumbatia mbinu bunifu za kuziwezesha kuilemea serikali katika ushindani mkali wa ununuzi wa… Read more “Nchini Kenya,Kampuni zalemea NCPB kwa ununuzi wa mahindi kwa njia ya ujanja”
Chini Kenya,Mazoea ya afisa wa polisi kujituma kazi ya trafiki Nairobi kutoka Makueni yamtia mashakani
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Magari yakiwa kwa msongamano. PICHA | MAKTABA KATIKA kipindi cha miezi mitatu, afisa mkuu wa polisi amekamatwa mara mbili kwa… Read more “Chini Kenya,Mazoea ya afisa wa polisi kujituma kazi ya trafiki Nairobi kutoka Makueni yamtia mashakani”
Sudan: UN yaonya dhidi ya mashambulio ya kulipiza kisasi dhidi ya raia
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Umoja wa Mataifa umeonya kuhusu mashambulio ya kulipiza kisasi dhidi ya raia wa kawaida katika jimbo la Al-Jazira nchini Sudan.… Read more “Sudan: UN yaonya dhidi ya mashambulio ya kulipiza kisasi dhidi ya raia”