Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: January 2025

Mkuu wa jeshi la Uganda asema anataka kumkata kichwa Bobi Wine

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mkuu wa jeshi la Uganda Generali Muhoozi Kainerugaba, ambaye pia ni mtoto wa Rais wa muda mrefu Yoweri Museveni, amesema… Read more “Mkuu wa jeshi la Uganda asema anataka kumkata kichwa Bobi Wine”

January 6, 2025 by CantonaDigital

Tanzania: Mtalii wa Israel afariki katika hifadhi ya Ngorongoro

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mtalii wa Israel ambaye utambulisho wake haujabainishwa (mwanamke) amefariki na wengine watano kujeruhiwa katika ajali ndani ya Mamlaka ya Hifadhi… Read more “Tanzania: Mtalii wa Israel afariki katika hifadhi ya Ngorongoro”

January 6, 2025 by CantonaDigital

Korea Kaskazini yarusha kombora la kwanza la balestiki katika muda wa miezi miwili: Seoul

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Korea Kaskazini imerusha kombora linaloonekana kuwa la masafa ya kati kuelekea bahari ya mashariki, jeshi la Korea Kusini lilisema, ikiwa… Read more “Korea Kaskazini yarusha kombora la kwanza la balestiki katika muda wa miezi miwili: Seoul”

January 6, 2025 by CantonaDigital

Hamas waorodhesha majina ya mateka 34 wanaonuia kuwaachia huru

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Afisa mwandamizi wa Hamas ameikabidhi BBC orodha ya mateka 34 ambao kundi la Wapalestina linadai kuwa lipo tayari kuwaachia huru… Read more “Hamas waorodhesha majina ya mateka 34 wanaonuia kuwaachia huru”

January 6, 2025 by CantonaDigital

Raia wa China wakamatwa DR Congo wakiwa na dhahabu na pesa taslimu $800,000

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Raia watatu wa China wametiwa mbaroni wakiwa na vipande 12 vya dhahabu na dola 800,000 za Kimarekani katika sehemu ya… Read more “Raia wa China wakamatwa DR Congo wakiwa na dhahabu na pesa taslimu $800,000”

January 6, 2025 by CantonaDigital

Kiongozi wa upinzani wa Msumbiji kurejea nchini wiki hii

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kiongozi wa upinzani wa Msumbiji ambaye, amekuwa akiongoza maandamano ya wiki kadhaa kupinga uchaguzi wenye utata kutoka uhamishoni, anasema atarejea… Read more “Kiongozi wa upinzani wa Msumbiji kurejea nchini wiki hii”

January 6, 2025 by CantonaDigital

Katika Picha: Uwanja wa ndege ulivyofunikwa na theluji

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Picha kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Muhammad Ali wa Louisville huko Kentucky zinaonyesha ndege zilizofunikwa na theluji huku… Read more “Katika Picha: Uwanja wa ndege ulivyofunikwa na theluji”

January 6, 2025January 6, 2025 by CantonaDigital

Je Wajua?Mambo yalitabiriwa mwaka 1995 kuhusu mwaka 2025?

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mnamo 1995, kipindi cha BBC Tomorrow’s World kiliamua kutabiri namna ulimwengu utakavyokuwa miaka 30 baadaye, yaani 2025. Kipindi hicho ambacho… Read more “Je Wajua?Mambo yalitabiriwa mwaka 1995 kuhusu mwaka 2025?”

January 6, 2025January 6, 2025 by CantonaDigital

Mwaka wa masomo waanza Kenya: Je, shule za bweni ziko kwenye kiwango cha usalama?

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchini Kenya, hali ya kutokuwa na uhakika inatawala katika mkesha wa kuanza kwa mwaka wa masomo. Mwanzoni mwa mwezi Desemba,… Read more “Mwaka wa masomo waanza Kenya: Je, shule za bweni ziko kwenye kiwango cha usalama?”

January 6, 2025 by CantonaDigital

Vita nchini Sudani: Mkuu wa jeshi akubali upatanishi uliopendekezwa na Uturuki

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Baada ya kuwezesha makubaliano kuhusu kudorora kwa uhusiano kati ya Somalia na Ethiopia katikati ya mwezi Desemba, Ankara sasa inajipanga… Read more “Vita nchini Sudani: Mkuu wa jeshi akubali upatanishi uliopendekezwa na Uturuki”

January 6, 2025 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...