Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: January 2025

Macron: Viongozi wa Afrika ‘walisahau kuishukuru Ufaransa’

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amesema kuwa mataifa ya Afrika “yalisahau” kuishukuru Ufaransa kwa kunusuru mataifa yao kuwa chini ya… Read more “Macron: Viongozi wa Afrika ‘walisahau kuishukuru Ufaransa’”

January 7, 2025 by CantonaDigital

John Mahama kuapishwa leo kuwa rais Ghana

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais mteule wa Ghana, John Mahama, anatarajiwa kuapishwa leo baada ya kushindi uchaguzi wa mwezi uliopita. Kwa mara ya kwanza,… Read more “John Mahama kuapishwa leo kuwa rais Ghana”

January 7, 2025 by CantonaDigital

Idadi ya vifo kutokana na dhoruba ya baridi kali yaongezeka Marekani

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mwanamume mmoja alipatikana amefariki Jumatatu asubuhi nje ya kituo cha basi katika eneo la Houston, Texas “kutokana na hali ya… Read more “Idadi ya vifo kutokana na dhoruba ya baridi kali yaongezeka Marekani”

January 7, 2025January 7, 2025 by CantonaDigital

Magavana nchini Kenya ,wataka maseneta kukataa mfumo wa kugawa mapato katika zao.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Gavana wa Kakamega Fernandes Barasa akihutubu katika hafla ya awali. Barasa amesema magavana wanapinga kupunguziwa hela. MFUMO mpya wa ugavi… Read more “Magavana nchini Kenya ,wataka maseneta kukataa mfumo wa kugawa mapato katika zao.”

January 7, 2025 by CantonaDigital

Serikali ya Kenya yasema imeweka mikakati Raila kushinda uenyekiti AUC

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kiongozi wa ODM Raila Odinga. PICHA | MAKTABA SERIKALI ya Kenya imetangaza kuwa imempanga Waziri Mkuu wa zamani Raila Odinga… Read more “Serikali ya Kenya yasema imeweka mikakati Raila kushinda uenyekiti AUC”

January 7, 2025 by CantonaDigital

Mkaguzi wa hesabu Nchini Kenya,aanika basari kwa wanafunzi hewa katika maeneo bunge

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mkaguzi wa Hesabu za Serikali, Bi Nancy Gathungu. PICHA|MAKTABA RIPOTI ya ukaguzi imeonyesha kwamba, huenda mamilioni ya pesa za basari… Read more “Mkaguzi wa hesabu Nchini Kenya,aanika basari kwa wanafunzi hewa katika maeneo bunge”

January 7, 2025 by CantonaDigital

Shughulikia mkwamo leo.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kuna MKWAMO ambao lazima uushughulikie leo kabla siku hazijaenda sana. Mkwamo huu unatokana na HISIA zako kushikiliwa mahali ambapo sio… Read more “Shughulikia mkwamo leo.”

January 7, 2025 by CantonaDigital

Unataka kuishinda HOFU na kufanya MAMBO Makubwa?…

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Aina 3 Za Watu Watakao Kuacha Peke Yako Katika Safari Yako Ya Mafanikio. i. Watu watakaa mbali na wewe kwa… Read more “Unataka kuishinda HOFU na kufanya MAMBO Makubwa?…”

January 7, 2025 by CantonaDigital

Rais wa zamani wa Ufaransa afikishwa mahakamani akituhumiwa kupokea pesa kutoka kwa Gaddafi

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy amefikishwa mahakamani siku ya Jumatatu, kwa tuhuma za kupokea mamilioni ya euro za… Read more “Rais wa zamani wa Ufaransa afikishwa mahakamani akituhumiwa kupokea pesa kutoka kwa Gaddafi”

January 6, 2025 by CantonaDigital

Kusini: Mazungumzo ya amani ya Tumaini yaanzishwa tena Nairobi, Kenya

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mazungumzo ya amani ya Tumaini kuhusu Sudan Kusini, yameanzihwa tena jijini Nairobi, Kenya siku ya Jumatatu Januari 6, 2024. Mazungumzo… Read more “Kusini: Mazungumzo ya amani ya Tumaini yaanzishwa tena Nairobi, Kenya”

January 6, 2025 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...