Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Katibu Mkuu wa COTU Bw Francis Atwoli. Picha/ Maktaba CHAMA cha wanasheria kutoka Mlima Kenya kinataka viongozi wanane miongoni mwao… Read more “Utekaji Nyara Kenya: Shinikizo Atwoli, Ichung’wa, Sudi na wengine waitwe kortini.”
Month: January 2025
Je, kudhibitiwa kwa mji wa Masisi na M23 huko DR Congo kunamaanisha nini?
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Uasi wa kundi la M23, linaloungwa mkono na Rwanda, ulichukua udhibiti wa mji wa Masisi, mji muhimu mashariki mwa Jamhuri… Read more “Je, kudhibitiwa kwa mji wa Masisi na M23 huko DR Congo kunamaanisha nini?”
Je, ulimwengu unapaswa kuwa na wasiwasi kuhusu virusi vipya HMPV?
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kuongezeka kwa magonjwa ya mfumo wa kupumua ikiwemo virusi vya Human Metapneumovirus (HMPV) kaskazini mwa China kumezua wasiwasi mkubwa. Haya… Read more “Je, ulimwengu unapaswa kuwa na wasiwasi kuhusu virusi vipya HMPV?”
Jeshi la Uganda lakanusha wanajeshi wake kuuawa na wanamgambo wenye uhusiano na IS
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Jeshi la Uganda limekanusha madai kuwa wanajeshi wake 10 wameuawa na wengine kujeruhiwa katika shambulio la wanamgambo wa kundi la… Read more “Jeshi la Uganda lakanusha wanajeshi wake kuuawa na wanamgambo wenye uhusiano na IS”
Rais mpya wa Ghana John Mahama aapishwa
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais John Dramani Mahama, ameapishwa kushika wadhifa huo katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Black Star Square katika mji mkuu… Read more “Rais mpya wa Ghana John Mahama aapishwa”
DRC: Waziri wa Sheria azungumzia kuhusu utekelezaji wa hivi punde wa adhabu ya kifo
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Waziri wa Sheria wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC),Constant Mutamba amezungumzia Januari 6, 2025 huko Kinshasa kuhusu hali ya… Read more “DRC: Waziri wa Sheria azungumzia kuhusu utekelezaji wa hivi punde wa adhabu ya kifo”
Umoja wa Mataifa: Zaidi ya watu milioni 30 wanahitaji msaada Sudani
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Watu zaidi ya Milioni 30 nchini Sudan, nusu wakiwa ni watoto wana uhitaji wa dharura wa misaada ya kibinadamu, baada… Read more “Umoja wa Mataifa: Zaidi ya watu milioni 30 wanahitaji msaada Sudani”
Kipenga cha Michezo-07-01-2025-Tetesi za Soka Jumanne: PSG na Barca wanamuwania Duran wa Villa.
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa PSG na Barcelona wanamtaka mshambuliaji wa Aston Villa Jhon Duran, Bayern Munich kuchuana na Manchester United kumsajili Viktor Gyokeres, Juventus… Read more “Kipenga cha Michezo-07-01-2025-Tetesi za Soka Jumanne: PSG na Barca wanamuwania Duran wa Villa.”
Jinsi wafungwa wa kisiasa walivyoshikiliwa kwenye ‘vyumba vya mateso’ Venezuela
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa “Tayari wamenitesa na kunikandamiza, lakini hawataninyamazisha. Sauti yangu ndiyo kitu pekee nilichobaki nacho.” Hivi ndivyo Juan, kijana mwenye umri wa… Read more “Jinsi wafungwa wa kisiasa walivyoshikiliwa kwenye ‘vyumba vya mateso’ Venezuela”
Mchora vibozo nchini Kenya,Kibet Bull asema atapunguza matumizi ya mitandao ya kijamii baada ya kuachiliwa huru
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mchoraji wa Katuni Gideon Kibet, almaarufu Kibet Bull (anayeinua mkono) akiwa na jamaa na marafiki mjini Nakuru Januari 6, 2025… Read more “Mchora vibozo nchini Kenya,Kibet Bull asema atapunguza matumizi ya mitandao ya kijamii baada ya kuachiliwa huru”