Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: January 2025

Tabia ambazo zinaweza athiri ubongo wako.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kuna watu wengi ambao hawapendi kutoka nje tena. Wengine hupenda kutumia wakati wao wakiwa wamelala kwenye chumba chenye giza au… Read more “Tabia ambazo zinaweza athiri ubongo wako.”

January 9, 2025 by CantonaDigital

Kipenga Cha Michezo-09-01-2025

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Manchester United wamefikia mkataba mpya na Amad Diallo, Kobbie Mainoo na Alejandro Garnacho kusalia Old Trafford, Arsenal wanalenga kumnunua Bryan… Read more “Kipenga Cha Michezo-09-01-2025”

January 9, 2025 by CantonaDigital

Chad yasema tarehe ya mwisho ya kuondoka wanajeshi wa Ufaransa ‘haiwezi kujadiliwa’

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Waziri Mkuu wa Chad, Allamaye Halina, amesema Ufaransa lazima ikamilishe kuwaondoa wanajeshi wake kutoka nchi hiyo ya Afrika ya Kati… Read more “Chad yasema tarehe ya mwisho ya kuondoka wanajeshi wa Ufaransa ‘haiwezi kujadiliwa’”

January 8, 2025 by CantonaDigital

Umoja wa Ulaya wamjibu Trump kuhusu mpango wake wa kuinyakua Greenland

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Umoja wa Ulaya hautaruhusu mataifa mengine kushambulia mipaka yake, Waziri wa Mambo ya nje wa Ufaransa amesema siku ya Jumatano,… Read more “Umoja wa Ulaya wamjibu Trump kuhusu mpango wake wa kuinyakua Greenland”

January 8, 2025 by CantonaDigital

MSF yawatibu karibu majeruhi 160 huko Kivu kufuatia mapigano ya Jeshi na M23

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Eneo la Masisi katika jimbo la Kivu Kaskazini limekuwa na mapigano makali katika siku za hivi karibuni kati ya kundi… Read more “MSF yawatibu karibu majeruhi 160 huko Kivu kufuatia mapigano ya Jeshi na M23”

January 8, 2025 by CantonaDigital

Iran yamwachilia huru mwandishi wa habari wa Italia, Cecilia Sala

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mwandishi wa habari wa Italia aliyezuiliwa nchini Iran mwezi uliopita ameachiliwa na yuko kwenye ndege kurejea Roma, serikali ya Italia… Read more “Iran yamwachilia huru mwandishi wa habari wa Italia, Cecilia Sala”

January 8, 2025 by CantonaDigital

Mashambulizi ya Israel yaua watu 19 Gaza, wakiwemo watoto wanane

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Takribani Wapalestina 19, wakiwemo watoto wanane, wameuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel kusini mwa Gaza usiku kucha, wanasema maafisa… Read more “Mashambulizi ya Israel yaua watu 19 Gaza, wakiwemo watoto wanane”

January 8, 2025 by CantonaDigital

“Mamlaka yetu juu ya Mfereji wa Panama hayawezi kujadiliwa” – Panama yamjibu Trump

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchi ya Panama imesisitiza kuwa mamlaka yake juu ya Mfereji wa Panama “hayawezi kujadiliwa” baada ya Rais mteule wa Marekani… Read more ““Mamlaka yetu juu ya Mfereji wa Panama hayawezi kujadiliwa” – Panama yamjibu Trump”

January 8, 2025 by CantonaDigital

Wanajeshi wa Nigeria watibua shambulio la Boko Haram na kuua wapiganaji 34

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Jeshi la Nigeria limesema siku ya Jumatano, wanajeshi wake wamewaua wanamgambo 34 wa Boko Haram katika mapigano kaskazini mashariki mwa… Read more “Wanajeshi wa Nigeria watibua shambulio la Boko Haram na kuua wapiganaji 34”

January 8, 2025 by CantonaDigital

Matukio katika picha: Moto wa nyika unaowaka Los Angeles Marekani

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Moto wa nyika ulioanza katika eneo la Pacific Palisades huko Los Angeles Jumanne asubuhi umeenea magharibi mwa jiji hilo kwa… Read more “Matukio katika picha: Moto wa nyika unaowaka Los Angeles Marekani”

January 8, 2025 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...