Matukio katika picha: Moto wa nyika unaowaka Los Angeles Marekani

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Moto wa nyika ulioanza katika eneo la Pacific Palisades huko Los Angeles Jumanne asubuhi umeenea magharibi mwa jiji hilo kwa kasi ya kutisha Jumanne na usiku.

Upepo mkali na hali ukavu vimezidisha moto huo, na kusababisha moto huo kuteketeza vitongoji kwa kasi. Moto huo unaripotiwa kuenea kutoka ukubwa wa ekari 10 hadi 3,000 katika muda wa saa chache.

Wazima moto wamekuwa wakikabiliana na moto huo usiku kucha, huku wakaazi wakilazimika kukimbia. Wapiga picha wamenasa matukio huku wazima moto wakijitahidi kudhibiti moto huo.

df
Maelezo ya picha,Watu wanahama, karibu na Pacific Palisades upande wa magharibi wa Los Angeles, Januari 7.
fdre
Maelezo ya picha,Mchikichi ukiungua katika kitongoji cha Pacific Palisades magharibi mwa Los Angeles, Januari 7.
dc
Maelezo ya picha,Nyumba zilizo ufukweni kando ya Barabara kuu ya Pwani ya Pasifiki huko Malibu ziko hatarini kumezwa na moto huo
f
Maelezo ya picha,Watu wanahama magharibi wa Los Angeles, Januari 7.
e
Maelezo ya picha,Gavana wa California Gavin Newsom amesema zaidi ya wazima moto 1400 wametumwa kukabiliana na moto huo
zx
Maelezo ya picha,Moto huo ulianza katika kitongoji tajiri cha Pacific Palisades, na kuenea

All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2025


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment