Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Aina 5 Za Watu Ambao Inabidi Uwe Nao Katika Ujana Wako.
i. Wanaoamini maono yako
ii. Wanaokuunganisha Kimkakati
iii. Wanaokusemea vizuri
iv. Wasaidizi wa hatima
v. Wanaokulea kama mtoto wao
Katika Makala Hii Tutazungumzia Aina ya Nne ya watu
– Wasaidizi Wa Hatima
Katika kundi hili, wako ambao wataanza na wewe na watahitimu na wewe.
Wapo wengine wataanza na wewe na wataishia katikati.
Na wengine watakukuta katikati na wataishia njiani.
Na wengine wataanzia katikati na watahitimu na wewe.
Kila mmoja anakuja kwa kusudi lake na kwa majira yake.
Jifunze kutowang’ang’ania muda wao unapokuwa umeisha.
Kwa sababu badala ya kuwa baraka wanaweza kugeuka kuwa laana.
All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2025
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.