Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Aina 3 Za Watu Watakao Kuacha Peke Yako Katika Safari Yako Ya Mafanikio.
i. Watu watakaa mbali na wewe kwa sababu wanaona unaelekea kufeli
ii. Watu wanaenda mbali na wewe ikiwa ni njia ya Mungu kukusaidia
ii. Ambao hawaamini katika uwezo wako.
Katika Makala Hii Tutazungumzia Aina Ya Pili Ya Watu
– Watu wanaenda mbali na wewe ikiwa ni njia ya Mungu kukusaidia
Kuna watu wanaenda mbali na wewe ikiwa ni njia ya Mungu kukusaidia kuwajua watu sahihi.
Na watu halisi (Genuine People) kwenye safari ya mafanikio yako.
Wakati huu hutumika kama mchujo wa kukusaidia kuwajua.
Usiwachukie wanaokukimbia nyakati ngumu.
Ila kuwa nao makini wanapokukaribia ukianza kufanikiwa.
Kama unataka kujifunza Unataka kuishinda HOFU na kufanya MAMBO Makubwa…
All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2025
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.