Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Heri ya mwaka Mpya 2025…
Watu wengi huwa wanaupa mwaka majina MAKUBWA MAKUBWA.
Kama vile – “Mwaka wangu wa mafanikio”…
“Mwaka wa Kutoboa” n.k…
Ni vizuri sana kuupa mwaka jina kulingana na matarajio uliyonayo…
Ila hiyo peke yake HAITOSHI.
Unahitaji kufanya kitu KITU KIPYA kinachoendana na jina unalotaka litokee.
Jiulize: Mwaka huu nitafanya nini kipya ambacho MWAKA JANA sikukifanya?
Angalia lengo lako KUBWA kwa mwaka huu…
Na hakikisha UNAANDIKA mambo utakayofanya ili ULIFANILISHE lengo lako.
Hakuna MWAKA MPYA pasipo MTU MPYA.
Kama umeipenda makala hii…
All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2024
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.