Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: January 2025

Kipenga Cha Michezo-Haaland asaini mkataba mpya Man City

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mshambuliaji wa Manchester City Erling Haaland ametia saini mkataba mpya utakaomuwezesha kusalia katika uwanja wa Etihad hadi 2034. Raia huyo… Read more “Kipenga Cha Michezo-Haaland asaini mkataba mpya Man City”

January 17, 2025January 17, 2025 by CantonaDigital

Seif Ali Khan: Nyota wa Bollywood hayuko tena hatarini baada ya kudungwa kisu

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Muigizaji maarufu wa Bollywood Saif Ali Khan amefanyiwa upasuaji na hayuko tena hatarini baada ya kudungwa kisu na mvamizi nyumbani… Read more “Seif Ali Khan: Nyota wa Bollywood hayuko tena hatarini baada ya kudungwa kisu”

January 17, 2025 by CantonaDigital

Urusi yawafunga jela mawakili waliomwakilisha marehemu Alexei Navalny

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mawakili watatu waliomuwakilisha marehemu kiongozi wa upinzani nchini Urusi Alexei Navalny wamehukumiwa kifungo cha hadi miaka mitano na nusu gerezani… Read more “Urusi yawafunga jela mawakili waliomwakilisha marehemu Alexei Navalny”

January 17, 2025 by CantonaDigital

Dawa zinazoshukiwa kuwa kokeini zapatikana kwenye gari la ubalozi wa Sierra Leone

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Sierra Leone imemrejesha nyumbani balozi wake kutoka nchi jirani ya Guinea baada ya masanduku saba yaliyokuwa na dawa inayoshukiwa kuwa… Read more “Dawa zinazoshukiwa kuwa kokeini zapatikana kwenye gari la ubalozi wa Sierra Leone”

January 17, 2025 by CantonaDigital

Rais wa CAR apongeza ushirikiano wa kijeshi na Urusi

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati Faustin-Archange Touadera ameipongeza Urusi kwa mchango wake katika usalama wa nchi yake. Touadera… Read more “Rais wa CAR apongeza ushirikiano wa kijeshi na Urusi”

January 17, 2025 by CantonaDigital

Trump ‘kuchukua hatua’ kuzuia marufuku ya TikTok – Mshauri.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais mteule wa Marekani Donald Trump atatafuta njia ya kuzuia kufungwa kwa TikTok kabla ya marufuku dhidi ya programu hiyo… Read more “Trump ‘kuchukua hatua’ kuzuia marufuku ya TikTok – Mshauri.”

January 17, 2025 by CantonaDigital

Rais Daniel Chapo kuwasaidia wachimbaji madini wa Msumbiji wanaozuiliwa nchini Afrika Kusini

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais mpya wa Msumbiji, Daniel Chapo, kwamba amejitolea kuhakikisha kuwa raia 1,000 wa Msumbiji wanaozuiliwa nchini Afrika Kusini kwa tuhuma… Read more “Rais Daniel Chapo kuwasaidia wachimbaji madini wa Msumbiji wanaozuiliwa nchini Afrika Kusini”

January 17, 2025January 17, 2025 by CantonaDigital

Biden awapunguzia adhabu wafungwa 2,500 wa dawa za kulevya wasio na vurugu

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Marekani Joe Biden amepunguzia adhabu ya wafungwa 2,500 waliokuwa wamehukumiwa vifungo virefu kutokana makosa yanayohusisha dawa za kulevya,… Read more “Biden awapunguzia adhabu wafungwa 2,500 wa dawa za kulevya wasio na vurugu”

January 17, 2025 by CantonaDigital

Pakistan: Imran Khan amehukumiwa kifungo cha miaka 14 jela kwa kesi ya ufisadi.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Waziri mkuu wa zamani wa Pakistan, Imran Khan, amehukumiwa kifungo cha miaka 14 jela kwa kesi ya ufisadi ,ikiwa ni… Read more “Pakistan: Imran Khan amehukumiwa kifungo cha miaka 14 jela kwa kesi ya ufisadi.”

January 17, 2025 by CantonaDigital

Serikali za nchi za Pembe ya Afrika zimeshindwa kutetea haki za raia: HRW

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Shirka la kimataifa la kutetea haki za binadamu Human Rights Watch, limetuhumu serikali za pembe ya Afrika kwa kushindwa kulinda… Read more “Serikali za nchi za Pembe ya Afrika zimeshindwa kutetea haki za raia: HRW”

January 16, 2025 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...