Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: December 2024

Ruto: Mnaposherekea kuweni na uangalifu msimu wa Krismasi.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais William Ruto ambaye amekuwa akitoa hakikisho kwamba madeni yamedhibitiwa.  RAIS William Ruto wa Kenya amewataka Wakenya kusherehekea Krismasi 2024… Read more “Ruto: Mnaposherekea kuweni na uangalifu msimu wa Krismasi.”

December 25, 2024 by CantonaDigital

AFRIKA LEO MCHANA -25-12-2024

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Karibu katika Matangazo yetu ya jioni moja kwa moja kutoka Communication Center. Tumekuandalia mengi ikiwa ni pamoja Muhtasari Naam,Natumai U… Read more “AFRIKA LEO MCHANA -25-12-2024”

December 25, 2024December 25, 2024 by CantonaDigital

Chad: Saleh Déby Itno, baba mdogo wa Mahamat Idriss Déby afariki dunia

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Saleh Deby Itno amefariki siku ya Jumanne, Desemba 24. Kaka mdogo wa Idriss Deby na baba mdogo wa mkuu wa… Read more “Chad: Saleh Déby Itno, baba mdogo wa Mahamat Idriss Déby afariki dunia”

December 25, 2024 by CantonaDigital

Bethlehemu: Uharibifu wa Gaza watawala misa ya usiku wa manane

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mitaa ya Bethlehem, katika Ukingo wa Magharibi, ilikuwa kimya siku ya Jumanne jioni ya Krismasi, bila mti wa Krismasi au… Read more “Bethlehemu: Uharibifu wa Gaza watawala misa ya usiku wa manane”

December 25, 2024 by CantonaDigital

Chad kupiga kura Jumapili, Upinzani kususia

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wananchi wa Chad wanajiandaa kupiga kura siku ya Jumapili katika uchaguzi wa wabunge na viongozi wa serikali za mitaa, ambao… Read more “Chad kupiga kura Jumapili, Upinzani kususia”

December 25, 2024 by CantonaDigital

Wakristo duniani washerehekea Sikukuu ya Krismasi

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Shamrashamra za Krismasi zinaendelea kote duniani leo Jumatano, siku ambayo Wakiristo wanasherehekea sikukuu ya kuzaliwa kwa Mwokozi wao Yesu Kristo… Read more “Wakristo duniani washerehekea Sikukuu ya Krismasi”

December 25, 2024 by CantonaDigital

Ethiopia: Wajumbe kutoka Addis Ababa na Mogadishu kutekeleza makubaliano ya Ankara

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wakuu wa kitengo cha Inteljensia kutoka Ethiopia na Somalia; wamekutana jijini Addis Ababa, kujadili ushirikiano kuhusu masuala ya ulinzi na… Read more “Ethiopia: Wajumbe kutoka Addis Ababa na Mogadishu kutekeleza makubaliano ya Ankara”

December 25, 2024 by CantonaDigital

Wahudumu wa daladala wanavyovuna hela kama njugu msimu huu wa Krismasi nchini.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kituo cha magari cha Tea Room, Nairobi, nauli ya kuelekea Nakuru Krismasi 2024 ni Sh1, 000. KAMA ilivyo ada na… Read more “Wahudumu wa daladala wanavyovuna hela kama njugu msimu huu wa Krismasi nchini.”

December 25, 2024 by CantonaDigital

Vinara wakuu siasa nchini Kenya kusherehekea Krismasi maeneo tofauti nchini humo.  

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais Willliam Ruto wakati akiwa mgombea urais kwa tikiti ya chama cha UDA, akihudhuria hafla jijini Nairobi mnamo Juni 2022… Read more “Vinara wakuu siasa nchini Kenya kusherehekea Krismasi maeneo tofauti nchini humo.  “

December 25, 2024December 25, 2024 by CantonaDigital

Rais Museveni na Raila katika ukuruba mpya wa siasa.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Museveni, Raila sasa ni chanda na pete Kianara wa upinzani Kenya, Bw Raila Odinga na Rais Yoweri Museveni. PICHA|HISANI Rais… Read more “Rais Museveni na Raila katika ukuruba mpya wa siasa.”

December 25, 2024December 25, 2024 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...