Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Tangu Novemba 26, mwanaharakati kutoka jimbo la Punjab, kitovu cha maandamano ya wakulima nchini India, hajala, kudai mapato bora kwa… Read more “India: Mahakama ya Juu yataka kusitisha mgomo wa kula wa kiongozi wa wakulima”
Month: December 2024
Israel: Familia za mateka zamtaka Donald Trump kuweka shinikizo kwa serikali ya Israel
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Familia za mateka zilmeandamana Jumamosi jioni katika miji kadhaa, na kumtaka rais mteule wa Marekani kumshinikiza Waziri Mkuu wa Israeli… Read more “Israel: Familia za mateka zamtaka Donald Trump kuweka shinikizo kwa serikali ya Israel”
Korea Kusini: Takriban watu 160 wafariki katika ajali ya ndege iliyobeba watu 181
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Ndege hiyo ya shirika la ndege la Jeju Air imepoteza muelekeo kwenye njia ya kurukia na kuanguka kwenye Uwanja wa… Read more “Korea Kusini: Takriban watu 160 wafariki katika ajali ya ndege iliyobeba watu 181”
Kazakhstan: Rais wa Azerbaijani asema Urusi ilipaswa kukubali hatia yake na kuomba msamaha
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Azerbaijani Ilham Aliev amebainisha Jumapili Desemba 29 kwamba ndege ya Shirika la ndege la Azerbaijan ambayo ilianguka siku… Read more “Kazakhstan: Rais wa Azerbaijani asema Urusi ilipaswa kukubali hatia yake na kuomba msamaha”
Msumbiji: Kuzuka kwa ghasia kunaathiri uchumi wa nchi
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Msumbiji imekuwa ikikumbwa na mlipuko mpya wa ghasia tangu siku ya Jumatatu na na Baraza la Katiba kuthibitisha uchaguzi wa… Read more “Msumbiji: Kuzuka kwa ghasia kunaathiri uchumi wa nchi”
Kifo cha Jimmy Carter: Biden atangaza maombolezo ya kitaifa Januari 9, 2025
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Taasisi yake ya Kituo cha Carter imesema rais huyo wa zamani amefariki akiwa nyumbani kwake mjini Plains, akiwa amezungukwa na… Read more “Kifo cha Jimmy Carter: Biden atangaza maombolezo ya kitaifa Januari 9, 2025”
Korea Kusini: Wachunguzi watafuta kibali cha kukamatwa kwa rais aliyetimuliwa Yoon
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wachunguzi wa Korea Kusini wamesema siku ya Jumatatu Desemba 30 wameiomba mahakama kutoa hati ya kukamatwa kwa rais aliyen’atuliwa madarakani… Read more “Korea Kusini: Wachunguzi watafuta kibali cha kukamatwa kwa rais aliyetimuliwa Yoon”
Congo-B: Mgomo uliodumu kwa miezi mitatu wasitishwa katika chuo kikuu cha umma
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wahadhiri na wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Marien Ngouabi mjini Brazzaville wanarejea shuleni leo Jumatatu, Desemba 30. Kufuatia maendeleo ya… Read more “Congo-B: Mgomo uliodumu kwa miezi mitatu wasitishwa katika chuo kikuu cha umma”
Uturuki yajitolea kuisaidia Syria kujenga upya mfumo wake wa nishati
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Ujumbe kutoka Wizara ya Nishati ya Uturuki umekuwa nchini Syria tangu Jumamosi Desemba 28 kusaidia mamlaka mpya huko Damascus kurejesha… Read more “Uturuki yajitolea kuisaidia Syria kujenga upya mfumo wake wa nishati”
Hawa ndio wanaume 10 matajiri zaidi barani Afrika
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wamefanya kazi kwa bidii ili kuwa mahali walipo leo. Wanaume hawa ni matajiri zaidi duniani na barani Afrika. Wanaume hawa… Read more “Hawa ndio wanaume 10 matajiri zaidi barani Afrika”