Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: December 2024

Mgogoro nchini Msumbiji: Afrika Kusini yateua mjumbe maalum

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Afrika Kusini imemteua mjumbe maalum, Sydney Mufamadi, kujaribu kurejesha hali ya utulivu katika nchi jirani ya Msumbiji. Nchi imetikiswa na… Read more “Mgogoro nchini Msumbiji: Afrika Kusini yateua mjumbe maalum”

December 31, 2024 by CantonaDigital

Mashariki mwa DRC: ADF yazidisha mashambulizi katikati ya mashambulizi ya M23

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Juhudi zote za jeshi la Kongo zikilenga kusitisha kusonga mbele kwa M23 inayoungwa mkono na Rwanda Mashariki mwa Jamhuri ya… Read more “Mashariki mwa DRC: ADF yazidisha mashambulizi katikati ya mashambulizi ya M23”

December 31, 2024 by CantonaDigital

Korea Kusini: Mahakama yatoa hati ya kukamatwa kwa rais aliyetimuliwa Yoon

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mahakama ya Korea Kusini imetoa kibali cha kukamatwa kwa Rais aliyepinduliwa Yoon Suk Yeol kwa jaribio lake lisilofanikiwa la kuweka… Read more “Korea Kusini: Mahakama yatoa hati ya kukamatwa kwa rais aliyetimuliwa Yoon”

December 31, 2024 by CantonaDigital

Mkuu wa diplomasia ya Ukraine aomba ‘kutengwa’ kwa Urusi nchini Syria

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Ni ziara ya kushtukiza ambayo mkuu wa diplomasia ya Ukraine amefanya siku ya Jumatatu, Desemba 30 huko Damascus, kwa matumaini… Read more “Mkuu wa diplomasia ya Ukraine aomba ‘kutengwa’ kwa Urusi nchini Syria”

December 31, 2024 by CantonaDigital

Jimmy Carter: Kutoka kuwa mkulima wa karanga hadi kuwa rais wa muhula mmoja na mshindi wa Nobel

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Jimmy Carter, ambaye amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 100, aliingia madarakani akiahidi kuwa kamwe hatawadanganya watu wa Marekani.… Read more “Jimmy Carter: Kutoka kuwa mkulima wa karanga hadi kuwa rais wa muhula mmoja na mshindi wa Nobel”

December 31, 2024 by CantonaDigital

Algeria: Rais ashambulia Ufaransa na mwandishi Boualem Sansal katika hotuba kwa taifa

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wakati wa hotuba kwa taifa iliyotolewa mbele ya mabunge yote mawili, rais wa Algeria, aliyechaguliwa tena kwa muhula wa pili… Read more “Algeria: Rais ashambulia Ufaransa na mwandishi Boualem Sansal katika hotuba kwa taifa”

December 31, 2024December 31, 2024 by CantonaDigital

Lebanon yataka Ufaransa kuhakikisha Israel inaheshimu makubaliano ya kusitisha mapigano

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mawaziri wa Jeshi la Ufaransa, Sébastien Lecornu, na wa Mambo ya Nje, Jean-Noël Barrot, wanatarajiwa siku ya Jumatatu, Desemba 30… Read more “Lebanon yataka Ufaransa kuhakikisha Israel inaheshimu makubaliano ya kusitisha mapigano”

December 31, 2024 by CantonaDigital

Kipenga Cha Michezo-Tetesi za Soka Jumanne: Man Utd na Man City wanamtaka Olmo

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Jaribio la Barcelona lililoshindwa la kumsajili mshambuliaji wa Uhispania Dani Olmo kwa kipindi cha pili cha msimu limefungua milango kwa… Read more “Kipenga Cha Michezo-Tetesi za Soka Jumanne: Man Utd na Man City wanamtaka Olmo”

December 31, 2024December 31, 2024 by CantonaDigital

Jaji mkuu mstaafu,nchini Kenya Maraga akemea serikali kuhusu utekaji nyara

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Jaji Mkuu wa zamani David Maraga. Picha|Maktaba ALIYEKUWA Jaji Mkuu David Maraga amelaani visa vya hivi majuzi vya utekaji nyara… Read more “Jaji mkuu mstaafu,nchini Kenya Maraga akemea serikali kuhusu utekaji nyara”

December 30, 2024 by CantonaDigital

Shambulizi la droni za RSF zimesababisha vifo vya watu 21 Darfur

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Takriban watu 21 waliuawa katika shambulio la ndege isiyo na rubani ya RSF kwenye Darfur Kaskazini mwa Sudan, wanaharakati wa… Read more “Shambulizi la droni za RSF zimesababisha vifo vya watu 21 Darfur”

December 30, 2024 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...