Kwa Wanaotaka KUTIMIZA MALENGO Yao Ya KIFEDHA Kwa KASI Zaidi…

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Hatua 7 Za Kufuata Ili Kupata Uhuru Wa Kifedha

i. Dependency Level (Hatua ya Utegemezi)
ii. Solvency Level (Kipato kinalingana na matumizi yako)
iii. Stability Level (Umeanza kuyamudu Maisha)
vi. Security Level (Umevuka mstari wa hatari wa kifedha)
v. Independent Level (Hatua ya Kujitegemea kifedha)
vi. Financial Freedom (Uhuru wa kifedha)
vii. Abundance Level (Wakati wa Utele)

Katika Makala Hii Tutazungumzia Hatua ya sita

– Financial Freedom (Uhuru Wa Kifedha)

Kwenye hatua hii, ni pale ambapo pesa zako unazoingiza kutoka katika uwekezaji wako (Investment Returns)…

…zinakuwa zinatosha kugharamia mahitaji yako ya msingi (Basic Needs), na ukabakia na pesa za ziada.

Katika hatua hii, pesa unazopata kutoka kwenye uwekezaji wako…

…zinatosha kabisa kukufanya uishi maisha uliyokuwa unayatamani kwa muda mrefu.

Kama Unataka KUTIMIZA MALENGO Yako Ya KIFEDHA Kwa KASI Zaidi…

All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2024


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment