Ukraine: Volodymyr Zelensky atembelea wanajeshi wake walio vitani Zaporizhia

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametangaza siku ya Alhamisi, Desemba 12, kuwa amewatembelea wanajeshi wake karibu na uwanja wa vita katika eneo la kusini la Zaporizhia, ambako Ukraine inashuku kuwa Urusi inajiandaa kufanya mashambulizi.

Volodymyr Zelensky anakutana na askari wa Ukraine akiwa vitani huko Kupiansk, Novemba 18, 2024.
Volodymyr Zelensky anakutana na askari wa Ukraine akiwa vitani huko Kupiansk, Novemba 18, 2024. AP

“Askari wetu wa kikosi cha 27 cha silaha (…). Wanafanya kazi kutetea mikoa yetu ya Zaporizhia na Donetsk dhidi ya mvamizi,” amesema Volodymyr Zelensky, akirusha video ambayo anahutubia askari wake.

All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2024


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment