Viongozi wa G7 kuijadili Syria Ijumaa Desemba 13

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Viongozi wa nchi za kundi la mataifa 7 yaliyostawi zaidi kiviwanda (G7) watakutana Ijumaa ya wiki hii kujadili hali ya Syria baada ya kuanguka kwa Bashar al-Assad, afisa wa Marekani amesema siku ya Jumanne Desemba 10, 2024. “Syria itakuwa moja ya mada zitakazojadiliwa wakati wa mkutano,” afisa huyo amesema, akizungumza kwa sharti la kutotajwa.

Syrie, décembre 2024
Syrie, décembre 2024 © AP

Mbali na MarekaniG7 inazileta pamoja UfaransaCanadaUjerumaniUingerezaJapani na Italia, ambayo inashikilia urais wa zamu hadi mwisho wa mwaka huu.

All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2024


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment