Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Kwa Wanaotaka Kuwa WAKUU Na WATAWALA…
i. Mahusiano Na MUNGU
ii. Neno La Mungu
iii. Maombi Yako Binafsi
iv. Kufunga
v. Kuwa Chini Ya Uongozi Wa Kiroho
Katika Makala Hii Tutazungumzia Mfumo wa nne
– Kufunga
Kwa chochote unachofanya kwenye maisha huwa kinatakiwa kupewa nguvu za kiroho ili kukiwezesha kuwa na SAUTI ZAIDI kwenye ULIMWENGU WA MWILI.
Katika faida kubwa mbili za kufunga, mojawapo ni kupata UFUNUO unaokupa MBINU na URAHISI wa kufanya mambo (Isaya 58:8).
Na ya pili ni KUTANGAZA habari zako katika ulimwengu wa mwili kupitia ulimwengu wa roho (Luka 4:14).
Yani kuna maeneo jina na habari zako zitatangulia kabla ya wewe kwenda kwanza.
Hii ndio maana moja ya siri ya mtume Paulo ilikuwa ni kufunga mara kwa mara bila kujali alikuwa mkubwa kiasi gani (2 Wakorintho 11:27).
Kufunga sio njia ya KUMSHURUTISHA MUNGU kufanya unachokitaka.
Bali ni njia rahisi ya kutawala ulimwengu wa mwili kwa msaada wa rohoni.
Kama unataka Kuwa Mtu MKUU unayetawala…
All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2024
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.