Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

1. “Usikate tamaa. Leo ni Ngumu, kesho ni mbaya zaidi. Lakini siku baada ya kesho kutakuwa na Mwangaza” – HOPE
2. “kama Kuna Sungura 9 uwanjani na unataka kumakamata mmoja, basi kazana kumkimbiza mmoja tu” – FOCUS.
3. “Kama hautokata tamaa, bado una nafasi ya kushinda”. – PERSISTENCE.
4. “Kitu Cha muhimu Cha kuwa nacho katika maisha ni Uvumilivu”.- PATIENCE.
5. “Kama hautofanya kwa vitendo, basi hakuna kitakachowezekana” – ACTION.
Ni kitu Gani kingine ambacho umewahi kujifunza kupitia historia ya huyu Bilionea mkubwa wa Ki-mtandao?
All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2024
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.