Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Kuna matukio yakitokea kwenye maisha maisha yako, yanaweza kukupotezea hali ya KUJIAMINI na KUJITHAMINI.
Wapo wengi ambao walipoteza kabisa HAMASA ya kuendelea mbele baada ya kupitia jambo fulani lililowafanya waonekane WAMEFELI au liliwatia AIBU.
Inawezekana na wewe umepitia/unapitia hali hiyo kwa leo. Naomba nikukumbushe: Jambo moja halitakiwi LIUE HATIMA YAKO KUBWA.
Kuna UKUU ndani yako, usiruhusu hata Mara moja MANENO ya watu na MITAZAMO ya watu inayokuonesha kuwa UMEFIKIA mwisho.
Usisahau wapo wengi waliopitia na wanaopitia Kama wewe Ila WANASHINDA. Na wewe UTASHINDA.
Kesho yako inang’aa kuliko jana na leo yako.
Kama umeipenda makala hii…
All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2024
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.