Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: November 2024

Besigye kortini; ashtakiwa kwa njama ya kulipua kambi za jeshi Uganda

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kiongozi wa upinzani Uganda Kizza Besigye akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari mnamo 22 Desemba 2017 katika ofisi yake… Read more “Besigye kortini; ashtakiwa kwa njama ya kulipua kambi za jeshi Uganda”

November 21, 2024 by CantonaDigital

Miswada inayokusudiwa kutumiwa kushirikisha umma katika maamuzi ya kisheria itafsiriwe kwa Kiswahili

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mwonekano wa sehemu ya ndani ya bunge wakati wa vikao vyake rasmi. Picha| Maktaba KAMATI inayohusika na masuala ya fedha… Read more “Miswada inayokusudiwa kutumiwa kushirikisha umma katika maamuzi ya kisheria itafsiriwe kwa Kiswahili”

November 21, 2024 by CantonaDigital

Kaunti zaongezewa bilioni saba juu na kuambiwa ziache kulialia

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Maafikiano kuhusu ugavi wa pesa. Picha|Maktaba SERIKALI za kaunti zitapokea Sh387 bilioni kama mgao wa mapato ya kitaifa baada ya… Read more “Kaunti zaongezewa bilioni saba juu na kuambiwa ziache kulialia”

November 21, 2024 by CantonaDigital

Matumaini ya wakulima yafifia mageuzi ya kufufua sekta ya kahawa yakigonga mwamba

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais Ruto akizingumza awali ambapo alikuwa amepatia jukumu naibu wake wakati huo, Gachagua, kufufua sekta ya kahawa. Picha|Maktaba HUKU Rais… Read more “Matumaini ya wakulima yafifia mageuzi ya kufufua sekta ya kahawa yakigonga mwamba”

November 21, 2024 by CantonaDigital

Mbinu zilizomsaidia kufanikiwa katika Ujasiriamali, Biashara na Uwekezaji.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Jana wakati nasoma, “Article” moja juu ya maisha ya Mfalme Sulemani, nilikutana na hili somo juu mbinu zilizomsaidia kufanikiwa katika… Read more “Mbinu zilizomsaidia kufanikiwa katika Ujasiriamali, Biashara na Uwekezaji.”

November 20, 2024 by CantonaDigital

Ubinafsi upo ila tumetofautiana na viwango.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kisaikolojia ni kuwa kila mwanadamu ni MBINAFSI… Ila tunatofautiana tu Viwango. Ukitaka kuelewa hili angalia mkipiga picha ya pamoja (Group… Read more “Ubinafsi upo ila tumetofautiana na viwango.”

November 20, 2024 by CantonaDigital

“Kwanini watu wanakuja na kuondoka kwenye maisha yako”.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Najua unahuzunika kwa sababu watu uliowaamini na kuwapa nafasi katika maisha yako wamekuacha. Pengine wameondoka katika kipindi ambacho unahitaji msaada… Read more ““Kwanini watu wanakuja na kuondoka kwenye maisha yako”.”

November 18, 2024 by CantonaDigital

Usiogope kusema HAPANA pale inapobidi…

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kuna watu wengi ambao matatizo yao makubwa ya Kifedha, mahusiano, biashara n.k yalianzia pale… …waliposhindwa kusema HAPANA kwenye jambo muhimu… Read more “Usiogope kusema HAPANA pale inapobidi…”

November 18, 2024 by CantonaDigital

Tumefanya makosa lakini tutarekebisha, Ruto sasa awaambia maaskofu waliomkosoa

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais William Ruto. PICHA|HISANI RAIS William Ruto sasa ameungama kwamba kwamba serikali yake imetenda makosa mbalimbali na kuahidi kuyarekebisha. Dkt… Read more “Tumefanya makosa lakini tutarekebisha, Ruto sasa awaambia maaskofu waliomkosoa”

November 18, 2024 by CantonaDigital

Afrika Leo Mchana

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Karibu katika Matangazo yetu ya jioni moja kwa moja kutoka Communication Center. Tumekuandalia mengi ikiwa ni pamoja Muhtasari Naam,Natumai U… Read more “Afrika Leo Mchana”

November 15, 2024 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...