Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: November 2024

Tanzania: Idadi ya vifo vilivyotokana na jengo kuporomoka yafikia 29

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Vifo vilivyotokana ajali hiyo vimefikia 29, baada ya miili mingine tisa kupatikana wakati zoezi la uokozi likiendelea. Msemaji Mkuu wa… Read more “Tanzania: Idadi ya vifo vilivyotokana na jengo kuporomoka yafikia 29”

November 26, 2024 by CantonaDigital

Mahakama kuu yakataa kuzuia ubomoaji wa majumba mtaa wa Woodley

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Woodley ambao walifika kortini kuomba Gavana Sakaja aagizwe aache ubomozi. Picha|Richard Munguti WAKAZI wa… Read more “Mahakama kuu yakataa kuzuia ubomoaji wa majumba mtaa wa Woodley”

November 26, 2024 by CantonaDigital

Ujerumani: Olaf Scholz ateuliwa kwa kauli moja mgombea wa SPD katika uchaguzi ujao

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz ametangazwa rasmi kuwa mgombea wa chama chake cha mrengo wa kati mnamo Jumatatu katika uchaguzi… Read more “Ujerumani: Olaf Scholz ateuliwa kwa kauli moja mgombea wa SPD katika uchaguzi ujao”

November 26, 2024 by CantonaDigital

Msumbiji: TotalEnergies inajua kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu Cabo Delgado

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Miezi miwili iliyopita, vyombo vya habari vya mtandaoni Politico viliripoti kuwa mwaka wa 2021 nchini Msumbiji jeshi liliteka nyara, kubaka… Read more “Msumbiji: TotalEnergies inajua kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu Cabo Delgado”

November 26, 2024 by CantonaDigital

HAUKO MTUPU, ‘You Are Not Empty”. Embu jifanyie Personality Check…

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kwa haraka haraka unaweza ukasema upo kundi Namba Ngapi?? 1. KIPAJI TU. Maana yake kwa sasa unaishi kwa kutegemea KIPAJI… Read more “HAUKO MTUPU, ‘You Are Not Empty”. Embu jifanyie Personality Check…”

November 26, 2024 by CantonaDigital

Kila shujaa kuna watu hawamkubali.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Moja ya ukweli mchungu kwenye maisha ni kuwa, kila Shujaa kuna watu ambao hawamkubali. Yaani, hata wewe uwe Mwema kiasi… Read more “Kila shujaa kuna watu hawamkubali.”

November 26, 2024 by CantonaDigital

Majaji 10 hatarini kutimuliwa kwa maamuzi tata katika kesi

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa ‘Nyundo’ ya Jaji kortini. Majaji wanne wa Mahakama ya Juu na sita wa Mahakama ya Rufaa wako hatarini kutimuliwa kufuatia… Read more “Majaji 10 hatarini kutimuliwa kwa maamuzi tata katika kesi”

November 26, 2024 by CantonaDigital

Ujauzito wa miezi 15!: Fahamu sakata la mimba za ‘muujiza’ Nigeria

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Chioma anasisitiza kuwa Hope, mtoto wa kiume anayembeba mikononi mwake, ni mwanawe. Baada ya miaka minane ya majaribio ya kupata… Read more “Ujauzito wa miezi 15!: Fahamu sakata la mimba za ‘muujiza’ Nigeria”

November 26, 2024 by CantonaDigital

Mke wangu alianza pombe polepole sasa ni mlevi chakari, nimsaidie vipi?

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Chupa na glasi ya pombe. Picha| Maktaba Huu ni mwaka wa tano tangu tuoane na mke wangu. Uhusiano wetu umekuwa… Read more “Mke wangu alianza pombe polepole sasa ni mlevi chakari, nimsaidie vipi?”

November 26, 2024 by CantonaDigital

Hospitali ya Moi Eldoret motoni kwa kuajiri wafanyakazi wengi wa kabila moja

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Hospitali ya Mafunzo na Rufaa ya Moi jijini Eldoret. Picha|Hisani HOSPITALI ya Mafunzo na Rufaa ya Moi (MTRH) imemulikwa kwa… Read more “Hospitali ya Moi Eldoret motoni kwa kuajiri wafanyakazi wengi wa kabila moja”

November 26, 2024 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...