Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Saa chache baada ya ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa Jean-Noël Barrot nchini Chad, waziri mwenzake Abderaman… Read more “Chad yatangaza kuvunja makubaliano yake ya ushirikiano wa kiulinzi na Ufaransa”
Month: November 2024
Tanzania: Chama tawala chashinda 98% ya viti katika chaguzi za mitaa, waziri atangaza
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Chama tawala nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi, ambacho kimetawala siasa kwa miongo kadhaa katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki, kimeshinda… Read more “Tanzania: Chama tawala chashinda 98% ya viti katika chaguzi za mitaa, waziri atangaza”
Senegal: Emmanuel Macron atambua ‘mauaji’ ya Thiaroye mnamo 1944
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Katika barua iliyotumwa kwa Rais wa Senegal hivi punde siku ya Alhamisi, Novemba 28, Emmanuel Macron anathibitisha kwamba “Ufaransa lazima… Read more “Senegal: Emmanuel Macron atambua ‘mauaji’ ya Thiaroye mnamo 1944”
Venezuela yapitisha sheria ya kuadhibu kuunga mkono vikwazo vya kimataifa
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Bunge la Venezuela, ambako serikali ina wabunge wengi, limepitisha hivi punde siku ya Alhamisi, Novemba 28, sheria inayoadhibu kifungo cha… Read more “Venezuela yapitisha sheria ya kuadhibu kuunga mkono vikwazo vya kimataifa”
Maisha mithili ya Mshale unaocheza katikati.
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Maisha ni kama mshale unaocheza katikati ya mstari WIMA (JUU) na MLALO (CHINI) na huanzia pale mistari hiyo ilipoungana.:Maana yake… Read more “Maisha mithili ya Mshale unaocheza katikati.”
Liberia: Aliyekuwa mbabe wa kivita Prince Johnson afariki dunia
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchini Liberia, Seneta Prince Johnson, mwanasiasa mwenye utata katika siasa za kitaifa, amefariki akiwa na umri wa miaka 72, vyombo… Read more “Liberia: Aliyekuwa mbabe wa kivita Prince Johnson afariki dunia”
Kenya: Makanisa mbalimbali yamuweka tumbo joto rais kwa kumkosa
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchini Kenya, tangu katikati ya mwezi Novemba, Makanisa kadhaa yameeleza kutokuwa na imani na rais wa nchi hiyo na sera… Read more “Kenya: Makanisa mbalimbali yamuweka tumbo joto rais kwa kumkosa”
Kenya hamtaki Adani lakini sisi tutaendelea naye, Tanzania wasema
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais Samia Suluhu Hassan ktika picha hii ya awali. Serikali yake, kupitia kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kusimamia Bandari… Read more “Kenya hamtaki Adani lakini sisi tutaendelea naye, Tanzania wasema”
Korti yataka ushahidi kwamba Ruto alifuta ,mkataba wa zabuni wa Adani
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais William Ruto aliyetangazia nchi kwamba dili za Adani zimefutwa kutokana na habari za kifisadi zilizohusishwa na kampuni hiyo. Picha|Maktaba… Read more “Korti yataka ushahidi kwamba Ruto alifuta ,mkataba wa zabuni wa Adani”
Uchaguzi Tanzania: Upinzani washutumu mauaji na udanganyifu
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema, kimeshutumu mauaji ya wafuasi wake wawili katika mkesha wa uchaguzi wa serikali za… Read more “Uchaguzi Tanzania: Upinzani washutumu mauaji na udanganyifu”