YOU HOLD AT YOUR HANDS THE IDENTITY OF WHOM YOU WANT TO BE OR WHAT YOU WANT TO DO

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

. (Mikononi mwako umeshikilia kibali cha kuwa unavyotaka au kufanya chochote unachotaka. :: Ukweli ni kwamba jinsi uwazavyo au utamanivyo kuwa mtu Fulani katika jamii, katika Maisha yako au kufanya jambo lolote la faida katika Maisha yako tayari unakibali cha kuwa au kufanya ndani mwako ( you have the identity in you) na ndio maana ndani mwako unasikia msukumo au hisia ya kufanya jambo au kuwa fulani ( you feel the state of being).

NA, siri yake ya kufanya itokeee imejificha katika nguvu yako ya kujiamini na kujaribu (the power of self confidence and Trying) bila kuwa na woga wowote kuwa hautaweza.

Je, na wewe ni miongoni mwa watu wenye mitazamio chanya Juu ya maisha yao lakini zimebaki katika nyoyo zao kama matamanio, na kubaki kukiri kuwa hauwezi kufanya itokee kutokana na kudunisha uwezo ulio nao??????

NO! You can! Hold the identity at your hands firmly, show it to the people! Enjoy your success.

All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2024


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment