Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Usisahau jambo hili kuwa, watu wa kucheka nao siku zote watakuwa wengi, Ila watu wanaoweza kulia na wewe ni wachache.
Kwenye Ulimwengu wa mitandao ya kijamii, unaweza kudanganyika kuwa una familia kubwa sana, Ila siku utakapopata changamoto ndio utajua kuwa sio kweli.
Unaweza kujuana na watu wengi Ila usiwe na mahusiano nao ya karibu. Yaani, ni kweli umezungukwa na wengi Ila sio wa kwako.
Yaani, Kama walivyokuzunguka wewe ndio wanavyowazunguka na wengine pia.
Pata msiba, changamoto ya ugonjwa wa muda mrefu, fukuzwa kazi, biashara ife, pata aibu n.k hapa ndio utaelewa una Marafiki wangapi.
Kuna ile hali kila unayempigia, yuko bize au anakutext nichek baadaye.
Unapoendelea KUKUSANYA WATU, USISAHAU KUTAFUTA MARAFIKI.
All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2024
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.