Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Kuna watu wengi ambao matatizo yao makubwa ya Kifedha, mahusiano, biashara n.k yalianzia pale…
…waliposhindwa kusema HAPANA kwenye jambo muhimu walilopaswa kusema hapana.
Wengi huwa ni sababu ya hofu ya “nitaonekanaje?”
Au nikifanya hivi “atajisikiaje?”.
Ingawa ni muhimu kuwa makini na hisia za wengine…
…Ila ukifanya hivyo kwa kuiharibu kesho yako ni kukosa hekima za maisha.
Ukishindwa kusema hapana, utajiingiza kwenye majukumu ambayo yatakuwa mzigo kwako.
Ukishindwa kusema hapana, utalazimika kuambatana na mtu/watu ambao huwataki kabisa.
Kuna maumivu ya muda mtu atayapata utakapomuambia hapana…
…Ila yatakupa Uhuru wa kudumu.
Kuna wakati HAPANA ndio jibu pekee litakalokuepusha na changamoto nyingine kubwa mbeleni.
Kama umeipenda makala hii…
All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2024
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.