Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Kuna siku HOFU itakushika sana…
Kutokana na kile KILICHOTOKEA au kile ambacho UNATAKIWA KUKIKABILI mbele yako.
Inawezekana unaposoma ujumbe huu, unajiuliza maswali:
NITAVUKAJE? n.k
Inawezakana haujaweza kulala vizuri na Furaha imepotea.
Ndio, HOFU imekukamata na haujui ufanye nini.
Ni hivi; inawezekana ni kweli jambo hili liko juu ya UWEZO wako.
Ila ni hivi, angalia chochote ambacho kiko ndani ya uwezo wako wa kukifanya.
Ikiwa kuongea na mtu, kumuona mtu Fulani, kuomba msaada, kuomba msamaha n.k
Usisahau, Mungu hatafanya USICHOWEZA hadi wewe utakapokuwa umefanya kile UNACHOWEZA.
Hili nalo LITAPITA!
All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2024
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.