Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Naibu Rais aliyebanduliwa Rigathi Gachagua alipohudhuria kesi yake kortini Jumanne MAWAKILI wa Naibu Rais aliyetimuliwa ofisini, Bw Rigathi Gachagua, Alhamisi… Read more “Sioni nikipata haki hapa, alia Gachagua akitaka majaji wajiondoe katika kesi yake”
Month: October 2024
Raila, anayesaka kiti cha AUC kwa udi na uvumba, kuzindua kampeni rasmi Ethiopia
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kiongozi wa ODM Raila Odinga akifanya mashauri na viongozi mbali mbali jijini Addis Ababa, Ethiopia. KENYA imepanga mikutano kadhaa ya… Read more “Raila, anayesaka kiti cha AUC kwa udi na uvumba, kuzindua kampeni rasmi Ethiopia”
Mtakuja kuipenda Adani, asema Rais Ruto akitetea mkataba wa mabilioni
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais William Ruto akizungumza wakati wa uzinduzi wa kituo cha kawi cha 35 MV Orpower-Twenty Two eneo la Menengai, Nakuru,… Read more “Mtakuja kuipenda Adani, asema Rais Ruto akitetea mkataba wa mabilioni”
Tanzania: Kumbukizi ya miaka 119 tangu kuibuka kwa vita vya majimaji
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Karibu katika Makala ya Afrika mashariki, hii leo tunatuwama nchini Tanzania katika Mkoa Lindi uliopo kusini mwa Tanzania mahali ilipo… Read more “Tanzania: Kumbukizi ya miaka 119 tangu kuibuka kwa vita vya majimaji”
EU yaongeza muda wa vikwazo dhidi ya Burundi hadi mwaka wa 2025
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Umoja wa Ulaya, umeamua kuendeleza shinikizo ilizoiwekea Burundi mwaka 2015 hadi mwaka 2025. Ripoti zinasema, Baraza la Umoja wa Ulaya, limetangaza… Read more “EU yaongeza muda wa vikwazo dhidi ya Burundi hadi mwaka wa 2025”
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Niger Hama Amadou amefariki dunia akiwa na miaka 74
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchini Niger, aliyekuwa Waziri Mkuu Hama Amadou, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 74. Kifo cha Amadou, kilitokea siku… Read more “Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Niger Hama Amadou amefariki dunia akiwa na miaka 74”
Msumbiji: Daniel Chapo wa chama tawala ndiye mshindi wa uchaguzi wa urais
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchini Msumbiji tume ya uchaguzi imemtangaza Daniel Chapo, kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Oktoba tarehe 9. Chapo, kutoka… Read more “Msumbiji: Daniel Chapo wa chama tawala ndiye mshindi wa uchaguzi wa urais”
Uganda: Wafuasi wa chama cha upinzani wafungwa jela miaka mitano
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph Mahakama ya kijeshi nchini Uganda, imewahukumu wafuasi 16 wa chama cha upinzani NUP, miaka 5 jela baada ya kuwakuta na ya… Read more “Uganda: Wafuasi wa chama cha upinzani wafungwa jela miaka mitano”
Wanawake wengi waliuawa katika maeneo yenye migogoro duniani: UN
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Idadi ya wanawake waliouawa katika maeneo yenye migogoro duniani kote imeongezeka maradufu mwaka jana, ambapo sasa wanachukua asilimia 40 ya… Read more “Wanawake wengi waliuawa katika maeneo yenye migogoro duniani: UN”
Msumbiji: Mamlaka yawaonya wanaopanga maandamano kupinga matokeo ya uchaguzi
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Msumbiji anayemaliza muda wake, Felipe Nyusi, ameonya kuwa vurugu zozote za kisiasa zitachukuliwa kama vitendo vya kihalifu, wakati… Read more “Msumbiji: Mamlaka yawaonya wanaopanga maandamano kupinga matokeo ya uchaguzi”