Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: October 2024

Afrika LEO jIONI-28TH Oct 2024

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Karibu katika Matangazo yetu ya jioni moja kwa moja kutoka Communication Center. Tumekuandalia mengi ikiwa ni pamoja Muhtasari Wanajeshi 40… Read more “Afrika LEO jIONI-28TH Oct 2024”

October 28, 2024 by CantonaDigital

Iraq yakashifu hatua ya Israeli kutumia anga yake kuishambulia Iran

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Iraq imetuma barua kwa katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres na baraza la usalama la UN kulaani hatua… Read more “Iraq yakashifu hatua ya Israeli kutumia anga yake kuishambulia Iran”

October 28, 2024 by CantonaDigital

Afrika Kusini kuwasilisha ushahidi dhidi ya Israel

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://liveonlineradio.net/radio-fortune-africa Afrika Kusini inatarajiwa kuwasilisha kumbukumbu ya kina dhidi ya Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) siku ya Jumatatu.… Read more “Afrika Kusini kuwasilisha ushahidi dhidi ya Israel”

October 28, 2024 by CantonaDigital

ODM wataka minofu zaidi kwa kusaidia kutimua Gachagua

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kinara wa ODM Raila Odinga akiwa na mbunge Junet Mohammed. Picha|Hisani CHAMA cha ODM imebainika sasa kinaotea minofu zaidi ndani… Read more “ODM wataka minofu zaidi kwa kusaidia kutimua Gachagua”

October 28, 2024October 28, 2024 by CantonaDigital

Familia za wahamiaji Amerika zahofia Trump kurejea kama rais

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mgombeaji urais Amerika Donald Trump (kulia) akiwa na bwanyenye mkubwa zaidi duniani Elon Musk ambaye anaunga mkono kampeni zake. Picha|Hisani… Read more “Familia za wahamiaji Amerika zahofia Trump kurejea kama rais”

October 28, 2024 by CantonaDigital

Marekani: Kampeni zashika kasi kuelekea uchaguzi wa urais wa wiki ijayo

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchini Marekani, kampeni za uchaguzi wa urais, utakaofanyika Jumanne wiki ijayo, zimeingia siku za mwisho. Wagombea wakuu, rais wa zamani Donald… Read more “Marekani: Kampeni zashika kasi kuelekea uchaguzi wa urais wa wiki ijayo”

October 28, 2024 by CantonaDigital

Gaza: Misri yapendekeza usitishaji wa mapigano kwa siku mbili

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Misri imependekeza mpango wa usitishwaji wa vita kwenye ukanda wa Gaza kati ya jeshi la Israeli na kundi la Hamas,… Read more “Gaza: Misri yapendekeza usitishaji wa mapigano kwa siku mbili”

October 28, 2024October 28, 2024 by CantonaDigital

DRC: Jeshi na washirika wake wajibu kwa mashabulizi katika eneo la Walikale dhidi ya M23

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mapigano yameripotiwa siku ya Jumapili kati ya waasi wa M23 wanaoungwa mkono na… Read more “DRC: Jeshi na washirika wake wajibu kwa mashabulizi katika eneo la Walikale dhidi ya M23”

October 28, 2024 by CantonaDigital

Unapotangaza Biashara Yako Kupitia Sponsored Ads / Meta Ads (Instagram na Facebook) Zingatia Haya Mambo 4 Makubwa.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa 1. Tangaza Bidhaa Ambayo Tayari Inauzika Tayari. Yani bidhaa ambayo ukipost WhatsApp Status… Kwenye post za kawaida kwenye mitandao mingine… Read more “Unapotangaza Biashara Yako Kupitia Sponsored Ads / Meta Ads (Instagram na Facebook) Zingatia Haya Mambo 4 Makubwa.”

October 28, 2024 by CantonaDigital

Maeneo 10 Makubwa Yanayoleta Migogoro Kwenye Ndoa Kuhusu Pesa.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kwa WANANDOA Wanaotaka Mafanikio Ya KIFEDHA… i. Tofauti ya Vipaumbele ii. Tofauti ya Mitazamo Ya Kipesa iii. Ndugu wa Karibu… Read more “Maeneo 10 Makubwa Yanayoleta Migogoro Kwenye Ndoa Kuhusu Pesa.”

October 28, 2024 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...