Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: October 2024

Ziara ya Macron Morocco: Makubaliano ya hadi euro bilioni 10

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kiasi kilichotangazwa na Élysée kimekaribishwa nchini Morocco: mikataba na uwekrzaji vilivyotiwa saini wakati wa ziara hiyo vinapaswa kwenda “hadi euro… Read more “Ziara ya Macron Morocco: Makubaliano ya hadi euro bilioni 10”

October 30, 2024 by CantonaDigital

Canada: Ruksa kwa wakazi wa Quebec wanaougua sana kuamua juu ya mwisho wa uhai wao

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Tangu mwaka wa 2014, sheria ya Quebec tayari imetoa usaidizi wa kufariki kwa ajili ya watu ambao wanataka kufariki mapema.… Read more “Canada: Ruksa kwa wakazi wa Quebec wanaougua sana kuamua juu ya mwisho wa uhai wao”

October 30, 2024 by CantonaDigital

Watu kumi na moja wafariki katika maandamano ya baada ya uchaguzi nchini Msumbiji

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Polisi nchini Msumbiji wamewauwa takriban watu 11 na kuwajeruhi wengine zaidi ya 50 wakati wa ghasia za baada ya uchaguzi,… Read more “Watu kumi na moja wafariki katika maandamano ya baada ya uchaguzi nchini Msumbiji”

October 30, 2024 by CantonaDigital

DRC: Karibu mtu mmoja kati ya wanne wako katika njaa kali, ripoti ya Umoja wa Mataifa yaonya

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Takriban robo ya wakaazi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ambako mamilioni ya watu wameyakimbia makazi yao, wako katika… Read more “DRC: Karibu mtu mmoja kati ya wanne wako katika njaa kali, ripoti ya Umoja wa Mataifa yaonya”

October 30, 2024 by CantonaDigital

Waziri wa ulinzi wa Israel asema uteuzi wa kiongozi mpya wa Hezbollah ni wa muda mfupi

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Waziri wa Ulinzi wa Israel Yoav Gallant amerusha kwenye kurasa wake wa X picha ya Naïm Qasim, katibu mkuu mpya… Read more “Waziri wa ulinzi wa Israel asema uteuzi wa kiongozi mpya wa Hezbollah ni wa muda mfupi”

October 30, 2024 by CantonaDigital

Kenya: Seneta mmoja apendekeza kuongeza muda wa kuhudumu kwa maafisa waliochaguliwa

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Muda wa mihula ya viongozi waliochaguliwa, ikiwa ni pamoja na ule wa rais, unajalidiliwa nchini Kenya. Seneta mmoja amewasilisha pendekezo… Read more “Kenya: Seneta mmoja apendekeza kuongeza muda wa kuhudumu kwa maafisa waliochaguliwa”

October 30, 2024 by CantonaDigital

Sudani: Ukubwa wa unyanyasaji wa kijinsia ‘ni wa kutisha’, waonya uchunguzi wa UN

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Ubakaji, ikiwa ni pamoja na ubakaji wa magenge, “umeenea” nchini Sudani baada ya miezi 18 ya vita vya wenyewe kwa… Read more “Sudani: Ukubwa wa unyanyasaji wa kijinsia ‘ni wa kutisha’, waonya uchunguzi wa UN”

October 30, 2024 by CantonaDigital

Ng’ang’ana kortini lakini ujue hata katika UDA tunakuvua mamlaka, Gachagua aambiwa

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Naibu Rais aliyebanduliwa Rigathi Gachagua ambaye amekuwa pia Naibu Kiongozi wa UDA na Katibu Mkuu wa chama Hassan Omar. Picha|Maktaba… Read more “Ng’ang’ana kortini lakini ujue hata katika UDA tunakuvua mamlaka, Gachagua aambiwa”

October 30, 2024 by CantonaDigital

12 Reasons Why Reading Books Should Be Part of Your Life:

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa 1. Knowledge Highway: Books offer a vast reservoir of knowledge on virtually any topic imaginable. Dive deep into history, science,… Read more “12 Reasons Why Reading Books Should Be Part of Your Life:”

October 30, 2024 by CantonaDigital

Maumivu 8 Ya Moyo Yalivyoharibu Maisha Ya Watu Wengi.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Unataka Kupona MAUMIVU ya MOYO?… i. Kutoamini watu wanaopaswa kuaminika. ii. Kukata tamaa iii. Kutojipenda. iv. Kutoamini kwenye uwezo wako.… Read more “Maumivu 8 Ya Moyo Yalivyoharibu Maisha Ya Watu Wengi.”

October 30, 2024 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...