Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Wapo wengi ambao wanaona kizuri unachofanya Ila bado hawajakuambia.
Kuna wengine wanafurahia kipawa chako Ila hawajapata ujasiri wa kusema.
Si unajua kuwa, jamii yetu haijazoeshwa kutambua mazuri ya mtu waziwazi?
Wengine wanaamini ni wajibu wako kufanya na haustahili kupongezwa.
Wengine wanaona wakikupongeza watakuwa wamekuinua sana.
Na wengine wanatamani hizo pongezi wangezipata wao.
Ndio maana, moja ya kanuni muhimu kwenye maisha yako ni kuhakikisha hauachi kufanya.
Yaani hata kama hakuna anayesema au anayekuunga mkono, kama ni kitu Chema na kizuri, usiache kufanya.
All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2024
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.