Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

1. Tangaza Bidhaa Ambayo Tayari Inauzika Tayari.
Yani bidhaa ambayo ukipost WhatsApp Status…
Kwenye post za kawaida kwenye mitandao mingine ya kijamii unapata wateja wanaonunua….
Unapokuwa na bidhaa ya namna hiyo inakupa ishara nzuri kuwa ukilipia Sponsored Ads (Instagram na Facebook) utapata wateja wengi zaidi.
2. Tangaza Bidhaa Ambayo Inakupa Faida Ya Tsh 15,000+ au Ksh 1500+
Kama bidhaa yako inakupa faida ya Tsh 15,000+au Ksh 1500+ kutoka kwa Mteja mmoja, basi kuna uwezekano mkubwa…
…ukalipia matangazo na UKAPATA wateja wengi zaidi KWA FAIDA.
3. Lenga Watu Wenye Kipato.
Makundi mawili makubwa ya wenye kipato ni Wafanyakazi na Wafanyabiashara.
Hivyo unaporusha matangazo yako kupitia Meta Ads Zingatia hili.
Ads hutaka kama una bidhaa nzuri kiasi…
…ila kama watu wanaoona matangazo yako hawana hela ya kununua bidhaa zako bado utajikuta kwenye wakati mgumu.
4. Tumia Meta Ads Manager kwenye Computer Kurusha Matangazo Yako.
Kwa sababu, Moja ni salama zaidi.
Pili utawafikia wateja wengi zaidi kwa GHARAMA NAFUU zaidi kuliko kutangaza kwa kutumia simu.
Kama utapenda kujifunza zaidi wasiliana na Mtaalamu aliyebobea kwenye Sponsored Ads (Instagram na Facebook) kwa zaidi ya miaka 7 kufahamu zaidi.
Amekuwa akirun matangazo ya bidhaa mbalimbali kwa zaidi ya miaka 3 sasa.
Mwaka huu pekee amespend zaidi ya Milioni 70 kwenye Sponsored Ads za Brands Mbalimbali anazofanya kazi nazo.
Kama unataka kujifunza zaidi usdisite kuwasiliana nasi
All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2024
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.