Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Unataka KUGEUZA KIPAJI Chako Kuwa PESA, Na Kidumu Kwa Muda Mrefu?…
i. Kipaji siyo kwa ajili yako bali kipaji ni kwa ajili ya wengine
ii. Kuacha kukinoa kipaji chako.
iii. Tabia zinazofukuza watu.
iv. Kukosa Mlezi
v. Marafiki wabaya
vi. Kuwekeza kwenye mfumo wa maisha kuliko vipaji vyao wenyewe
vii. Kushindwa kubadilisha kipaji chako kuwa biashara
Katika Makala Hii Tutazungumzia Jambo la Nne
– Kukosa Malezi
Hapa nazungumzia kuwa na mtu ambaye ni Mentor au Coach kwenye maisha yako.
Kuna watu wengi sana wanakuja kugundua wakati maisha yao yamepotea kabisa.
Lakini ukiwaangalia unagundua kwamba huyu mtu angepata mtu wa kumkalisha chini na kumshauri ingemsaidia sana.
Nataka uelewe kwamba kama una kipaji ila hauna mtu yeyote ambaye unamhofia.
Au anaweza kukuonya na kukurudisha kwenye mstari ujue kwamba kipaji chako kipo hatarini.
Usiingie kwenye kundi la watu ambao kipaji chao kinapotea.
Tafuta mtu ambaye atakuwa akikushauri na kukuonya unapokosea.
Kama unataka kujifunza Jinsi Ya KUGEUZA KIPAJI Chako Kuwa PESA Na Kukifanya Kidumu Kwa Muda Mrefu…
All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2024
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.