Ni miaka 25 tangu kufariki dunia muhasisi wa Nchi Tanzania Mwl Julius Kabarage Nyerere.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Watanzania hii leo wanaadhimisha miaka 25 tangu kufariki kwa mwanzilishi wa taifa hilo Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Miongo kadhaa bila ya uwepo wake, Tanzania imeshuhudia mabadiliko kadhaa katika sekta mbalimbali, lakini pia mmomonyoko wa maadili, kama wanavyosema wachambuzi.

Hizi ni baadhi ya nukuu za Mwalimu Nyerere ambazo zinaendelea kuishi.

All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2024


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment