Aina 5 Za Mipaka Ambayo Familia Huwekewa…

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

i. Elimu na Kazi

ii. Mahusiano Na Familia

iii. Vifo Kabla Ya WakatI

iv. Kukataliwa

v. Fedha Na Uchumi

Leo katika makala hii tutaangalia aina ya kwanza.

Elimu Na Kazi

Kuna familia ambazo mpaka wao mkubwa umewekwa kwenye Elimu na Kazi. Familia hizi kwa kawaida unakuta watu hawamalizi shule huwa wanaishia njiani.

Wakati mwingine wanaacha wenyewe au wakati mwingine huwa wanafukuzwa kwa makosa ya utovu wa nidhamu.

Ni kawaida kwa watu kuacha shule na familia huwa haishtuki wala haichukulii kama ni jambo la ajabu.

Mara nyingi watoto wa familia za namna hii huwa wanakuwa watukutu sana na wanaanza kujihusisha katika wizi, ukorofi wakati wakiwa na umri mdogo.

Si ajabu kukuta watu katika familia hii wanaanza kukabiliana na mashtaka mahakamani au kufungwa wakiwa katika umri mdogo.

Ukihitaji kujifunza kwa kina zaidi kuhusu aina nyingine 4 za mipaka ambayo familia huwekewa nashauri usome eBook yangu ya Vita Ya Mkombozi Wa Familia.

All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2024


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment